Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 117,530
- 217,793
- Thread starter
- #21
endelea kupanua magoliAcheni kujifariji. Huyu kwa sasa ni Rais na Chama chake ni chama tawala, kama CCM ilivyo hapa Tanzania. Wenzi wenu ni Edgar Lungu na Chama chake ambao kwa sasa ni wapinzani, ndiyo mko nao league moja. CCM wanayo haki ya kumpongeza Rais huyu mchsgulowa kwa Sababu ameingia rasmi league ya watawala.