CHADEMA yamjibu Lazaro Nyalandu, yamkaribisha na kusema chama cha siasa ni watu

Troll JF

JF-Expert Member
Feb 6, 2015
7,804
12,224
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimejibu ombi la aliyekuwa Mbunge wa Singida Kaskazini Lazaro Nyalandu ambaye leo amejiuzulu wadhifa huo na kukihama chama cha CCM na kuomba kujiunga CHADEMA.
CHADEMA-LOGO%20copy_0.jpg

Akiongea na mwandishi wa East Africa Television, Mkurugenzi wa Itifaki, Mawasiliano, Uenezi na Mambo ya Nje wa Chadema, John Mrema, amesema CHADEMA inamkaribisha mtu yeyote anayetaka kujiunga na chama hicho, kwani chama cha siasa ni watu.

Msikilize HAPA
 
AWE MAKINI WASIJE WAKAMPA KESI YA KUKUTWA NA FUVU LA FARU JOHN
Jerry Muro na le mutuz wakiongozwa na Bashite Maliyamungu wapo busy mda huu kumtengenezea Zengwe, kumpakazia kila Aina ya ubaya, Uzushi mwingi na kuna moja inapangwa akamatwe Airport pindi akiwa anasafiri awekewe Dawa za kulevya au Madini, Siri nyingi huvuja pindi Le mutuz akiwa bar analewa hasa mara nyingi akiwa na mchepuko huropoka sana.
 
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimejibu ombi la aliyekuwa Mbunge wa Singida Kaskazini Lazaro Nyalandu ambaye leo amejiuzulu wadhifa huo na kukihama chama cha CCM na kuomba kujiunga CHADEMA.

CHADEMA-LOGO%20copy_0.jpg

Akiongea na mwandishi wa East Africa Television, Mkurugenzi wa Itifaki, Mawasiliano, Uenezi na Mambo ya Nje wa Chadema, John Mrema, amesema CHADEMA inamkaribisha mtu yeyote anayetaka kujiunga na chama hicho, kwani chama cha siasa ni watu.

Msikilize hapa chini.
CHADEMA wamjibu Nyalandu | East Africa Television

Hata wewe karibu pia
 
Back
Top Bottom