Chadema yaleta neema kwa watumishi wa Umma- Sasa kulipwa mishahara mapema

Hahahah propaganda za kishamba kabisa sasa Chadema inahusika vipi na mishahara? Acheni ujinga nyie mnataka kufanya watu wajinga hapa JF! Mnataka sifa zisizo wahusu eti chadema imeleta Neema?
 
Jamani penye Haki na itolewe. Tangu nimeajiriwa serikalini mwezi April 2009, ni mwezi mmoja tu March 2010 ndio nilipata mshahara wangu tar 31, miezi mingine yote ni avarage ya tarehe 25-27 na kuna miezi mshahara unaingia tarehe 23 au 22. Ndio serikali ya JK haija2fanyia mengi mema wa2mishi wake lakini kwenye hili la mishahara, inatoka kwa wakati. Hata last month watumishi wa ofisi yetu 2mepata salary B4 Easter which was 24th.

Hii hata mimi naidhibitisha ni kweli sijawahi kuona mshahara ukachelewa hilo la kukopa sijui
 
Na kwa kudhibitisha hilo baadhi ya watumishi wa wizara wa afya mishahara imeshaingia leo tar 17/05.

nakama watumishi wa serikari kupitia TUGHE ,wangekua na msimamo wa kuunga mkono madai ya TUCTA , hata mishahara yao ingekua bora. . . Wafanyakazi wa serikali ni wapole, waoga, wasio na msimamo ! Wengi wao ni mufilisi wa Akili .
 
Mkuu kwa halmashauri niliyopo mimi mishahara hupokelewa hadi tarehe 34. Sijawahi kuona mtu anapata hizo siku ulizotaja. Kwa serikali kuu kuna idara walikuwa wanajazwa fedha tarehe 18 lakini siku za karibuni inafika hadi 25.
Nimeipenda hiyo ya wana CCM kusubiri zaidi ya siku 5. Haya majamaa huwa yanaweka shida nyuma, CCM mbele
Hapo kwenye Red kuna Shaka...
 
Hahahah propaganda za kishamba kabisa sasa Chadema inahusika vipi na mishahara? Acheni ujinga nyie mnataka kufanya watu wajinga hapa JF! Mnataka sifa zisizo wahusu eti chadema imeleta Neema?
Pigeni kelele, tuiteni wajinga lakini wengine tumeshakula mishahara tangu juzi kitu ambacho hakijapata kutokea tangu nchi ipate uhuru. Big up Zitto
 
una haili kama mtoto wa chekechea, chaedema na mishahara wapi na wapi? Miaka yote chaderma walikuepo watumishi tulikuwa hatuklipwi? Usilete siasa katika mikataba ya watu wewe piga domo lako huko huko na uache kuingilia mambo ya serikali,aandaeni jeshi mfanye mapinduzi kwa kuwa mnahamasisha kumwaga damu na kuvunja sheria huku mkidai katiba sijui katiba gani ambayo itawaruhusu watu kuvamia maduka na biashara za watu kwa kuwa wamelala njaa? Nyote mnanuka damu hamfai
Ha ha ha matusi yanatoka wapi? Nimesema mishahara ilikuwa inachelewa sio mlikuwa hamlipwi. Tatizo lenu mnadhani waliopo serikalini wote ni wana CCM. Laiti mngejua mngefanya mchujo mtuondoe wote tuliopo upinzani ambao tupo zaidi ya 80% Mna kazi ndugu zangu
 
una haili kama mtoto wa chekechea, chaedema na mishahara wapi na wapi? Miaka yote chaderma walikuepo watumishi tulikuwa hatuklipwi? Usilete siasa katika mikataba ya watu wewe piga domo lako huko huko na uache kuingilia mambo ya serikali,aandaeni jeshi mfanye mapinduzi kwa kuwa mnahamasisha kumwaga damu na kuvunja sheria huku mkidai katiba sijui katiba gani ambayo itawaruhusu watu kuvamia maduka na biashara za watu kwa kuwa wamelala njaa? Nyote mnanuka damu hamfai
Wanaonuka Damu Ni Mapolisi wa jk wanavyoua Raia wake. Siku ya Wabaya itafika mtakosa pa kukimbilia Damu inahamasishwa kumwagwa au Nyie ndio huamua kuua na kumwaga Damu??? Una akili za kufundishwa? Tumia na Zako... Yaani muharibu nchi mijizi nyie mafisadi nyie wazurumati nyie!!! Sasa wenyewe Tuanitaka iwe swafi na tuwafikishe kwenye haki..

mwasema Watu wanahubiri Umwagaji Damu au na wewe ni kati ya wale jumuiya ya Wazazi mlipewa Kanga fulana na kofia? bila kusahau Heineken! mkaona msaliti wananchi mna mawazo Mgando au mawazo nta! acheni Dharau Hata Mandela Aliitwa Gaidi alipokuwa anatetea Afrika Kusini iwe Huru na haki kwa wote!! Gamba la Nyoka we!!
 
una haili kama mtoto wa chekechea, chaedema na mishahara wapi na wapi? Miaka yote chaderma walikuepo watumishi tulikuwa hatuklipwi? Usilete siasa katika mikataba ya watu wewe piga domo lako huko huko na uache kuingilia mambo ya serikali,aandaeni jeshi mfanye mapinduzi kwa kuwa mnahamasisha kumwaga damu na kuvunja sheria huku mkidai katiba sijui katiba gani ambayo itawaruhusu watu kuvamia maduka na biashara za watu kwa kuwa wamelala njaa? Nyote mnanuka damu hamfai
Mijizi Nyie, Wezi Nyie Wachakachuaji Nyie Wavunja Amani Nyie Wazudhulumaji Nyie... Wala Rushwa Nyie Wavunja Sheria Nyie .... Sasa iweje Mseme Chadema Wanahubiri Uvunjaji wa Sheria Wakti nyie ndio Walimu Wakuu.

Nikufundishe Akili Kanyasu Nadhani Umezeeka Na Mnazeeka Vibaya hadi Mmeanza Kunuka kabla hamjafa... Mandela Nae Alishawahi Pakaziwa hayo Yote Nikupe Siri Yako Peke yako Aliitwa Gaidi Pia... Sasa siku za Haki zikafika Akawa Huru Na Nchi Ikawa Huru Na Inapendeza.. Iweje wewe Upinge Utetezi Wa Wanyonge Wewe endelea kukaa upande huo huo wa Shetani Wenu Magamba Kwa Taarifa Yenu Mtawapoteza Wanawake Wengi baada ya Kujitambulisha Kuwa nyie ni Nyoka Wanawake Hawapendi Nyoka Muhahahaha!!

Mwafumbuliwa Macho lakini Hamuoni Mnatia Gadhabu South Africa Wewe Ushapigwa Tairi la Moto Siku Nyingi.. kwa Yote ila Umenipa Hasira... Ushauri Izunguke Nchi Uone Watu Wanavyoishi kwenye Nchi yenye Miaka 50 Pengine Utaelewa na Utageuka Kuwa Mtetezi Wa Haki...

Jaribu Kutafuta Maana Ya neno HAKI Utizame na Hiyo Katiba Uipendayo ibakie hivyo na Siku ukija pata Raisi Kilaza zaidi ya ....
 
kama hazina haina fedha wanazitoa wapi hizo za kuwahisha mishara naona kama haijakaa vizuri hapo
 
kama hazina haina fedha wanazitoa wapi hizo za kuwahisha mishara naona kama haijakaa vizuri hapo
Kwani fedha zote za kampeni ya CCM zilitoka hazina? Serikali haina fedha watu wanazo. Si inaweza kukopa benki kama ilivyozoea?
 
Back
Top Bottom