Chadema yaleta neema kwa watumishi wa Umma- Sasa kulipwa mishahara mapema

SG8

JF-Expert Member
Dec 12, 2009
3,955
2,125
Katika mfululizo wake wa maanadamano na mikutano Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimefanikiwa kuishinikiza serikali kulipa mishahara ya watumishi wake mapema.
Akiwa katika mji wa Vwawa wilayani Mbozi Mkoa wa Mbeya, Naibu Katibu Mkuu wa Chadema Zitto kabwe alifyatua bomu kuwa serikali ilikopa toka benkio mishahara ya kuwalipa wafanyakazi na kuwafanya wawe hawajalipwa mpaka tarehe 7/5. Itakumbukwa kuwa Mh Waziri wa fedha alikuja juu na kupinga kauli hiyo ya Zitto kwa kumwita sio mzalendo na kuwa serikali inazo fedha za ziada.
Taarifa toka chanzo huru zinasema serikali imesambaza waraka kwa wakuu wa idara hasa wakurugenzi wa halmashauri na manispaa zote ikiwataka kuhakikisha watumishi wote wawe wamelipwa mishahara yao ifikapo tarehe 25 ya Mwezi huu. Barua hiyo imeeleza wazi kuwa hazina imekauka kabisa lakini wakurugenzi wafanye vyovyote itakavywezekana ili watumishi wawe wamelipwa ifikapo siku hiyo.

My take;Wale wote wanaobeza harakati na mikutano ya chadema wajue kuwa hata kama serikali yanawaumiza wachache lakini yanawanufaisha wananchi wengi wasio na watetezi. Big up Zitto, big up Chadema. Pipoz Powaaaaaaa!
 
Eti chanzo cha kuaminika halafu hicho chanzo kikupe maneno matupu bila huo waraka then unakimbilia humu kuja kutuletea uzushi wako! I thought you were better than this.
 
Kwani mimi siwezi kuwa chanzo? au ni uvivu wakufikiri?
 
Katika mfululizo wake wa maanadamano na mikutano Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimefanikiwa kuishinikiza serikali kulipa mishahara ya watumishi wake mapema.
Akiwa katika mji wa Vwawa wilayani Mbozi Mkoa wa Mbeya, Naibu Katibu Mkuu wa Chadema Zitto kabwe alifyatua bomu kuwa serikali ilikopa toka benkio mishahara ya kuwalipa wafanyakazi na kuwafanya wawe hawajalipwa mpaka tarehe 7/5. Itakumbukwa kuwa Mh Waziri wa fedha alikuja juu na kupinga kauli hiyo ya Zitto kwa kumwita sio mzalendo na kuwa serikali inazo fedha za ziada.
Taarifa toka chanzo huru zinasema serikali imesambaza waraka kwa wakuu wa idara hasa wakurugenzi wa halmashauri na manispaa zote ikiwataka kuhakikisha watumishi wote wawe wamelipwa mishahara yao ifikapo tarehe 25 ya Mwezi huu. Barua hiyo imeeleza wazi kuwa hazina imekauka kabisa lakini wakurugenzi wafanye vyovyote itakavywezekana ili watumishi wawe wamelipwa ifikapo siku hiyo.

My take;Wale wote wanaobeza harakati na mikutano ya chadema wajue kuwa hata kama serikali yanawaumiza wachache lakini yanawanufaisha wananchi wengi wasio na watetezi. Big up Zitto, big up Chadema. Pipoz Powaaaaaaa!

BIG MISTAKE
bora kuwa wakweli miradi ya maendeleo itaanza kuzolota mmoja mmoja na hapo itakuwa balaa zaidi
hilo ni bomu litalipuka sio muda,
 
Na kwa kudhibitisha hilo baadhi ya watumishi wa wizara wa afya mishahara imeshaingia leo tar 17/05.
 
Sasa huyo anayesema mawaziri waanze kutembea anataka watembee kwa miguu ama kwa baiskeli,hili ni anguko la karne,nchi hata senti haina!sasa wakurugenzi watoe wapi hela kama serikali kuu yenyewe haina hata senti
 
Kama hazina imekauka hizo hela za kulipa mishahara kwenye halmashauri zao zitapatikana wapi?
Nijuavyo mimi halamshauri zinategemea ruzuku toka serikali kuu
 
Hela zote inabidi zimalizwe mwezi huu,so....what's the surprise?
 
kwa kawaida watumishi wa TAMISEMi huwa wanawahi zaidi ya wa serikali (kati ya tarehe 19-22 ya kila mwezi) na watumishi wa serikali kati ya 22-24 ya kila mwezi sasa Mkulo anaposema mishahara ya mwezi wa 5 iwe imetoka si zaidi ya tarehe 25 ina maana ilikuwa itke late than that.

My take:
huu u-CCM ndio uliotufikisha hapa tulipo...kupinga hata harakati zinazomkomboa yeye. Naomba kama mishahara itatoka mapema, wana-CCM kwa hiyari yao waende ku-draw siku 5 a zaidi mbele wa-feel walichotaka kufanyiwa na chama chao!! Keep it up CDM, matongotongo yatawatoka tu
 
Duh!
Mie yangu macho poleni mnaoendelea kuitetea serikali ya Kikwere.. (Ndugu Mbopo mpaka povu na misuri ya kichwa imekutoka unatetea serikali ya JK)...
Siwezi jua inaweza wewe ndie waziri mwenye dhamana!
 
@plawala & kobello niaje wakuu? Ok naona mnaiandamana sirikali ya ****** ilivyo!
 
Jamani penye Haki na itolewe. Tangu nimeajiriwa serikalini mwezi April 2009, ni mwezi mmoja tu March 2010 ndio nilipata mshahara wangu tar 31, miezi mingine yote ni avarage ya tarehe 25-27 na kuna miezi mshahara unaingia tarehe 23 au 22. Ndio serikali ya JK haija2fanyia mengi mema wa2mishi wake lakini kwenye hili la mishahara, inatoka kwa wakati. Hata last month watumishi wa ofisi yetu 2mepata salary B4 Easter which was 24th.
 
kwa kawaida watumishi wa TAMISEMi huwa wanawahi zaidi ya wa serikali (kati ya tarehe 19-22 ya kila mwezi) na watumishi wa serikali kati ya 22-24 ya kila mwezi sasa Mkulo anaposema mishahara ya mwezi wa 5 iwe imetoka si zaidi ya tarehe 25 ina maana ilikuwa itke late than that.

My take:
huu u-CCM ndio uliotufikisha hapa tulipo...kupinga hata harakati zinazomkomboa yeye. Naomba kama mishahara itatoka mapema, wana-CCM kwa hiyari yao waende ku-draw siku 5 a zaidi mbele wa-feel walichotaka kufanyiwa na chama chao!! Keep it up CDM, matongotongo yatawatoka tu
Mkuu kwa halmashauri niliyopo mimi mishahara hupokelewa hadi tarehe 34. Sijawahi kuona mtu anapata hizo siku ulizotaja. Kwa serikali kuu kuna idara walikuwa wanajazwa fedha tarehe 18 lakini siku za karibuni inafika hadi 25.
Nimeipenda hiyo ya wana CCM kusubiri zaidi ya siku 5. Haya majamaa huwa yanaweka shida nyuma, CCM mbele
 
Na kwa kudhibitisha hilo baadhi ya watumishi wa wizara wa afya mishahara imeshaingia leo tar 17/05.

....sio hao tu.. WALIMU payroll zao zasainiwa kesho na wakurugenzi halmashauri mbalimbali nchini.. Asante CDM
 
sasa huyo anayesema mawaziri waanze kutembea anataka watembee kwa miguu ama kwa baiskeli,hili ni anguko la karne,nchi hata senti haina!sasa wakurugenzi watoe wapi hela kama serikali kuu yenyewe haina hata senti

wanasubiri za bae system za uk. Kumbe ndo maana benny membe anazililia sana.duu
 
Katika mfululizo wake wa maanadamano na mikutano Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimefanikiwa kuishinikiza serikali kulipa mishahara ya watumishi wake mapema.
Akiwa katika mji wa Vwawa wilayani Mbozi Mkoa wa Mbeya, Naibu Katibu Mkuu wa Chadema Zitto kabwe alifyatua bomu kuwa serikali ilikopa toka benkio mishahara ya kuwalipa wafanyakazi na kuwafanya wawe hawajalipwa mpaka tarehe 7/5. Itakumbukwa kuwa Mh Waziri wa fedha alikuja juu na kupinga kauli hiyo ya Zitto kwa kumwita sio mzalendo na kuwa serikali inazo fedha za ihadziada.
Taarifa toka chanzo huru zinasema serikali imesambaza waraka kwa wakuu wa idara hasa wakurugenzi wa halmashauri na manispaa zote ikiwataka kuhakikisha watumishi wote wawe wamelipwa mishahara yao ifikapo tarehe 25 ya Mwezi huu. Barua hiyo imeeleza wazi kuwa hazina imekauka kabisa lakini wakurugenzi wafanye vyovyote itakavywezekana ili watumishi wawe wamelipwa ifikapo siku hiyo.

My take;Wale wote wanaobeza harakati na mikutano ya chadema wajue kuwa hata kama serikali yanawaumiza wachache lakini yanawanufaisha wananchi wengi wasio na watetezi. Big up Zitto, big up Chadema. Pipoz Powaaaaaaa!

Sasa hao wanaojifanya kutoona jitihada za chadema tuwaiteje?
 
Back
Top Bottom