CHADEMA yakodi vijana kumshangilia Dr Slaa

Chabruma

JF-Expert Member
Sep 19, 2013
5,660
1,777
Wadau, imedhihirika kuwa CHADEMA wamekuja na mbinu zile zile walizokuwa wanadai kuwa ni za CCM za kukodi malori kupeleka watu kwenye mikutano. Hayo yamejitokeza kwenye mkutano wa Dr Slaa uliofanyika huko Kahama mara baada ya babu Slaa kukosa watu wa kumpokea na kumshangilia hasa baada ya vijana wengi kutoridhishwa na maamuzi ya CC ya kumvua uanachama ZITTO KABWE. Imedhihirika pia kuwa hata huko Kigoma hali hiyo imejitokeza. Hii ni dhahiri kuwa CHADEMA sasa imeshakufa na tukio la kumvua uongozi ZITTO KABWE limekifanya chama hicho kukosa mvuto kwa vijana.

Nawasilisha.

Source: Gazeti la Hoja la Ijumaa, Desemba 6-12, 2013

CHADEMA WAKODI MALORI KIGOMA.jpg CHADEMA WAKODI MALORI KIGOMA 2.jpg

Attachments

  • CHADEMA WAKODI MALORI KIGOMA.jpg
    CHADEMA WAKODI MALORI KIGOMA.jpg
    314 KB · Views: 720
Wadau, imedhihirika kuwa CHADEMA wamekuja na mbinu zile zile walizokuwa wanadai kuwa ni za CCM za kukodi malori kupeleka watu kwenye mikutano. Hayo yamejitokeza kwenye mkutano wa Dr Slaa uliofanyika huko Kahama mara baada ya babu Slaa kukosa watu wa kumpokea na kumshangilia hasa baada ya vijana wengi kutoridhishwa na maamuzi ya CC ya kumvua uanachama ZITTO KABWE. Imedhihirika pia kuwa hata huko Kigoma hali hiyo imejitokeza. Hii ni dhahiri kuwa CHADEMA sasa imeshakufa na tukio la kumvua uongozi ZITTO KABWE limekifanya chama hicho kukosa mvuto kwa vijana.

Nawasilisha.

Source: Gazeti la Hoja la Ijumaa, Desemba 6-12, 2013

View attachment 125193View attachment 125194

Gazeti la HOJA ni gazeti la KUCHAMBİA
 
Mara ooh picha za mwaka juzi, mara ooh wamekodi watu mbona mnajiabisha nyie vjana,
 
Muda gani unapotea wakuu? Nyie si mmeajiriwa kutetea CHADEMA CHUMBANI?

Zitto ameshasema AMEJİANDAA KİSAİKOLOJİA KUFUKUZWA! Nyie vinyamkera mnashinda mitandaoni mnajamba jamba tu! Jiandaeni kisaikolojia na nyie...shwaini we!
 
Mkuu, naona unaleta utani na wachambaji kwa kutumia magazeti. wao wanasema kuwa Gazeti la Tanzania Daima linachambika vizuri sana tena halichubui, wewe unasema gazeti la Hoja!

Gazeti la Hoja ni gazeti la KUSTANJİA
 
Back
Top Bottom