Chadema Yakiri kufata Mfumo Kristo Bungeni

Status
Not open for further replies.
Hivi unafahamu ukristo ulianza lini? Hayo uliyoandika unajuwa yalitoka kipindi gani na watu hao walikuwa wanafuata dini gani?

Muulize huyo mchungaji anaechambuwa "Nchi ya Ahadi", si maneno yangu hayo.
 

Mheshimiwa Spika, napenda pia kutoa shukrani za dhati kwa CHADEMA kikiwa chini ya Mtendaji wake mkuu (KATIBU MKUU-TAIFA), Mhe. Wilbroad Peter Slaa. Hakika kila Mtanzania anaona kazi unayoifanya ya kuhakikisha chama chetu kina kuwa juu na Watanzania wote wanatuunga mkono. Mungu akupe uhai, naamini ipo siku tutaifikia Nchi ya Ahadi!


Hayo maneno yalielekezwa kwa ex Padre Slaa, sio kwa kubahatisha, Halima anajuwa anachokiongea, Slaa anajuwa na wewe unaejidai kupinga unajuwa, na mimi najuwa na nna uhakika wengine kwa sasa wanajuwa maana kamili ya kutufikisha "Nchi ya Ahadi".
 
Kabla hujanishutumu mimi ungemwabia Mbunge wenu Halima Mdee wa CHADEMA aifute hiyo kauli inayoashiria kutugawa, hakuna Muislaam ataekubali kupelekwa "Nchi ya Ahadi" kwa maana kamili ya mafundisho ya Kikristo.

Nna uhakika Halima Mdee alikuwa anafahamu anachokiongea na hajakurupuka!

Kama waislam hawataki nchi ya ahadi hio ni dhaifu yao, by the way wanaenda msikitini kumuomba nini mungu? Hawaamini ufufuo? Acha udini, kwanza halima hajataja ukristo, ni akili yako tu
 
Status
Not open for further replies.
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom