Chadema yakabidhi rambirambi kwa familia

Nanyaro Ephata

JF-Expert Member
Jan 22, 2011
1,221
1,788
Chadema wamekabidhi rasmi hundi yenye dhamani ya 5mil kwa familia ya hayati Denis,tukio hilo limefanyika leo,ingawa familia ya Ismail hawakuwepo baada ya wao wenyewe kujikoroga.Hayati denis alikuwa na watoto wawili ambao kila mmoja amefunuliwa akaunti na kuwekewa milion moja na nusu,na milioni mbili kukabidhiwa kwa msimamizi wa miradhi aliyeteuliwa na familia
 
Interesting, mchakato wa makusanyo, matumizi na mgao unasemaje? Uwajibikaji sio kwa watawala tu na hata hao wanaojiiona wana haki na uhalali zaidi ya kutawala kama mbadala nao wanawajibika sio kusema tu bali kuonyesha uwajibikaji kwa vitendo.
 
Poleni WaTz. Ni ishara mbaya kuwa Serikali ya Kikwete sasa imeifikisha nchi mahali hapo.
Nasikia alisema ktk mahojiano wakati wa uchaguzi wa 2010 ataka akumbukwe kuwa na nakuu "..niliitoa Tz hapa nikaifikisha hapa.." mwisho wa kunukuu. Labda ni kujiuliza kama ameifikisha Tz hapo mahala! Bila shaka ni pabaya hapana hata jina
 
Back
Top Bottom