CHADEMA yajipenyeza Tabora, Yashinda kwa kishindo uchaguzi

Masikini CCM jiandaeni kuachia dola 2015 na sisituwashughulikie kama mnavyotunyanyasa na vyombo vya dola.
 
Watu wakotayari kuiondoa ccm, kinachowasaidia ccm ni kuwanunua wagombea wazuri ili wagombee kwa ticket ya ccm. Kama chadema ikiweza kushawishi wagombea wazuri 2014 mtaona mdadi utavyowapanda ccm. Uchaguzi wa 2014 ni determinant ya ule wa 2015! Chadema ni lazima kupata zaidi ya asilimia 70 ili kuishinda ccm in 2015
 
Hongereni wana Tabora kwa kuyapokea mabadiliko,zibeni masikio dhidi ya ngonjera za akina J.Makamba eti ccm itatawala milele khali wanajua hakuna marefu yasiyo na ncha.CHADEMA ni chama chenye nia njema,ila ccm kinaturudisha nyuma (kwa kushirikiana na wageni kutuibia Tanzanite na gesi)
 
watu wanzidi kuielewa Chadema Tabora! hakika kwa pamoja tutaweza kuwaondoa wakoloni weusi ccm!
 
wasira anasema, chadema kabla ya uchaguzi ujao itakuwa imesambaratika, kama hali ya ushindi itaendelea na wasira aendelee kuishuhudia makamanda hamuoni tunaweza kumpoteza mzee wa gombe?
 
Masikini CCM jiandaeni kuachia dola 2015 na sisituwashughulikie kama mnavyotunyanyasa na vyombo vya dola.
Cdm itawatendea haki wote wakiwemo hao magamba wachache wanaonyanyasa viongozi na raia.
 
Chama dume ccm kimeamua kuwapooza watani zake baada ya kutumia gharama kubwa kwenye uchaguzi wa madiwani ikiwemo kuruka kwa helkopta lakini ikapata vikata vitano tu
 
Ukiona chadema imepata ushindi mahali ujue kuna wachaga au wakristo wengi maeneo hayo
 
Back
Top Bottom