CHADEMA yajipanga kushinda uchaguzi Uzini na si kushiriki

Mimi binafsi nitashiriki moja kwa moja na kwa makusudi kabisa kuhakikisha kwamba Chadema hawalipati hili jimbo. Alaaaaah wapi na wapi Zanzibar na habari za Chadema ambao wanachama wake kila siku wanaukejeli Uislamu hapa JF, wanataka kumleta David Cameroun ndani ya visiwa vyetu! Shame on them. Zanzibar Daimaa mbele. Am proud to be Zanzibar.
 
Mimi binafsi nitashiriki moja kwa moja na kwa makusudi kabisa kuhakikisha kwamba Chadema hawalipati hili jimbo. Alaaaaah wapi na wapi Zanzibar na habari za Chadema ambao wanachama wake kila siku wanaukejeli Uislamu hapa JF, wanataka kumleta David Cameroun ndani ya visiwa vyetu! Shame on them. Zanzibar Daimaa mbele. Am proud to be Zanzibar.

Kuna kitu sielewi hapa. Kwani ukizungumzia Zanzibar Ndo umezungumzia Uislam?
 
Chadema haiwezi kushinda Zanzibar kwani sio Chama cha Kitaifa,vyama vya kitaifa vinajulikana ni CUF na CCM kwani vina Wabunge na Wawakilishi pande zote mbili TZ BARA na TZ ZANZIBAR.kama msajili wa vyama vya Siasa angekuwa makini angeifuta CHADEMA kwani si chama cha Kitaifa.
 
cdm wakishinda najiua

hata ujiue hasara ni kwa familia yk na ccm na mchumba wake cuf,cdm huwa hatutishwi na hoja nyepesi hizo.tumeshampata wa kupeperusha bendera,tunakuja kuwakimbiza kama riadha maana moto wetu wa kuuzima hayupo labda mungu tu,cuf+ccm unganeni lkn shughuli yetu mnaijua tukiingiza timu kwenye mashindano.
 
Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA tayari imeweka mipango kabambe ya kuingia jimbo la Uzini zanzibar kumnadi Mgombea wao katika nafasi ya ubunge.

hata Hivyo kuna tetesi kuwa kutokana na mgogorowaunaofukuta ndani kwa ndani kati ya mgombea wa Ubunge wa CCM bwana Raza ndani ya CCM huku wengi wakihoji kuhusu uraia wake wazanzibar wameanza kumkataa , hiyo pekee inaweza kuwapa upenyo mzuri CHADEMA kuishambulia Uzini.

Hata hivyo pamoja na CHADEMA kuweka mipango kabambe huku ikitegemea sana baraza la Vijana wa chadema BAVICHA , inafanya kazi nzuri ili kushinda jimbo hilo.

Kampeni za chadema zinaanza Rasmi tarehe 29, siku moja kabla ya uzinduzi wa CCM ambapo bado chadema inazidi kuwainua walimu kwani katika uchaguzi mdogo jimbo la igumnga mgombea alikuwa mwalimu Joseph Kashindya na hata Uzini nako mgombea aliyeteuliwa ni mwalimu Ally Mbarouk Mshinda,

muhimu ni chadema kushinda na si kushiriki uchaguzi

Kwa Chadema kushina UZINi ni sawa na mtu kupeleka Nyama ya nguruwe pale msikiti wa Makaa na kuuza au kupeleka Vikoi pale Vatican na kuanza kuviuza.


Ok kila la kheir. Naogopa tu yasiwakute yale ya pemba ya kura za marhani

 
yaani kuna mtu anafikiri chadema ishine znz,mashehe watakuwa wapi ni ndoto za mchana kabisa hizo yaani ni ngumu kama ngamia kupita kwenye tundu la sindano,haiwezekani,hao jamaa kwa udini na umimi ndio wenyewe
 
Hawawezi kushinda,na hivi wafuasi wao kutwa wanavyokejeli waislamu humu ndani ndio kabisaaa.

wewe unachanganya mambo. linapokuja suala la dini, tunaongelea dini, linapokuja suala la siasa ni siasa, kama madongo kwa mwenendo mbaya, yote yanafanyika hapa JF. Kwani umeambiwa kila aliyeko JF ni CDM? au ni Mkristo/mwisalamu? wacha mawazo mgando
 
Hawawezi kushinda,na hivi wafuasi wao kutwa wanavyokejeli waislamu humu ndani ndio kabisaaa.

Kwa hiyo unakiri kuwa Zanzibar ni nchi ya Kiislamu na wakristo walio kule hawatambuliki.
Samahani sana Ndugu yeyote anayekimbilia "kichaka" cha mashambulio ya mtu binafsi, Dini au kabila lake kwangu mimi ni Taahira tu! Hapa inaonyesha Kundi la "mataahira" wamejipanga kuendeleza kampeni chafu za UDINI zanzibar!
 
Back
Top Bottom