CHADEMA yajipanga kushinda uchaguzi Uzini na si kushiriki | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CHADEMA yajipanga kushinda uchaguzi Uzini na si kushiriki

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by Neema William, Jan 22, 2012.

 1. N

  Neema William Senior Member

  #1
  Jan 22, 2012
  Joined: Jan 3, 2012
  Messages: 171
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA tayari imeweka mipango kabambe ya kuingia jimbo la Uzini zanzibar kumnadi Mgombea wao katika nafasi ya ubunge.

  hata Hivyo kuna tetesi kuwa kutokana na mgogorowaunaofukuta ndani kwa ndani kati ya mgombea wa Ubunge wa CCM bwana Raza ndani ya CCM huku wengi wakihoji kuhusu uraia wake wazanzibar wameanza kumkataa , hiyo pekee inaweza kuwapa upenyo mzuri CHADEMA kuishambulia Uzini.

  Hata hivyo pamoja na CHADEMA kuweka mipango kabambe huku ikitegemea sana baraza la Vijana wa chadema BAVICHA , inafanya kazi nzuri ili kushinda jimbo hilo.

  Kampeni za chadema zinaanza Rasmi tarehe 29, siku moja kabla ya uzinduzi wa CCM ambapo bado chadema inazidi kuwainua walimu kwani katika uchaguzi mdogo jimbo la igumnga mgombea alikuwa mwalimu Joseph Kashindya na hata Uzini nako mgombea aliyeteuliwa ni mwalimu Ally Mbarouk Mshinda,

  muhimu ni chadema kushinda na si kushiriki uchaguzi
   
 2. TUMBIRI

  TUMBIRI JF-Expert Member

  #2
  Jan 22, 2012
  Joined: May 7, 2011
  Messages: 1,934
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  All the best CDM. Msihofu mtaji wa CUF, ni kama ule ule wa Igunga.
   
 3. M

  Molemo JF-Expert Member

  #3
  Jan 22, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Chadema kakomboeni Uzini.
   
 4. Kiziza

  Kiziza JF-Expert Member

  #4
  Jan 22, 2012
  Joined: Dec 10, 2011
  Messages: 440
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Hawawezi kushinda,na hivi wafuasi wao kutwa wanavyokejeli waislamu humu ndani ndio kabisaaa.
   
 5. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #5
  Jan 22, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,986
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  Bravo CDM, kwa mara ya kwanza chama cha upinzani kinasimamisha mgombea zanzibar. Tunajua CUF ni chama tawala Zanzibar.
   
 6. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #6
  Jan 22, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,986
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  Mambo ya udini kamwulize Kikwete! chadema ni chama cha watanzania wazalendo, hakuna udini, ukabila wala rangi.
  Wazanzibari waelewe kuwa Kumchagua mtu kwa rangi yake, udini wake, au uraia wake ni dhambi kubwa sana mbele za mungu na wanadamu. wahakikishe wanamchagua kiongozi atakayewasaidia matatizo yao, huyo mtu hawezi kupatikana pengine popote isipokuwa chadema, chama ambacho kimewafunda viongozi na wanachama wake wakafundika kweli! wapo kwa ajili ya wananchi siyo kwa ajili yao au kwa ajili ya wageni!
  Ukombozi wa nchi unahitaji mshikamano wa watu wote kuhakikisha chadema inachukua utawala wa nchi hii, ili wananchi waonje na kufaidi matunda ya nchi yao iliyonyonywa na wezi wa mali ya umma chini ya serikali ya ccm yapata miaka 50 sasa baada ya uhuru.
   
 7. 1800

  1800 JF-Expert Member

  #7
  Jan 22, 2012
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 2,217
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Hacha kuingiza masuala ya udini wewe na kupandandikiza mbegu ya sumu kwa watanzania
   
 8. Kiziza

  Kiziza JF-Expert Member

  #8
  Jan 22, 2012
  Joined: Dec 10, 2011
  Messages: 440
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Hivi kwani ni siri kama waislamu huwa wanakejeliwa humu ndani??au utaniambia we huwa hauoni washabiki wa chadema wakiwakejeli??
  Leo mnataka kura mnajifanya wamoja??
   
 9. Kiziza

  Kiziza JF-Expert Member

  #9
  Jan 22, 2012
  Joined: Dec 10, 2011
  Messages: 440
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Ningependa hili jibu ungekuwa unawapa wale wanaowaita waislamu sijui wana elimu ya madrasa,wanywa kahawa,na bla bla kama hizo.
   
 10. AdvocateFi

  AdvocateFi JF-Expert Member

  #10
  Jan 22, 2012
  Joined: Jan 15, 2012
  Messages: 10,705
  Likes Received: 592
  Trophy Points: 280
  Bravo chadema.
   
 11. M

  Mgaya D.W JF-Expert Member

  #11
  Jan 22, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 966
  Likes Received: 192
  Trophy Points: 60
  kwakweli zanzibar tunastahili kupata majimbo na kwa namna ninavyoamini bavicha chini ya kamanda heche itakua swafi,tuna prof.safari naye ndiye atakuwa mwalim wa kutuelekeza njia zpi za kupta naye prof.baregu atatupa tathimin kadri kaz inavyokwenda.nafurahi kuona sasa mgombea toka cdm anacmama kidete.
   
 12. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #12
  Jan 22, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Udini huwa ni kimbilio la wanasiasa walioshiwa hoja. Sijui mpaka hapa tulipo ni wanasiasa wa chama gani walioishiwa hoja?
   
 13. Crucifix

  Crucifix JF-Expert Member

  #13
  Jan 22, 2012
  Joined: Feb 20, 2011
  Messages: 1,618
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Kwani kule wanaenda kushiriki chadema au jamii forum?
   
 14. RedDevil

  RedDevil JF-Expert Member

  #14
  Jan 22, 2012
  Joined: Apr 30, 2009
  Messages: 2,287
  Likes Received: 903
  Trophy Points: 280
  Jina tu lenyewe ni Mwalimu Kashinda, tayari jimbo la kwanza hilo kwa CDM!! Lets wait and see, watu watatema hadi watu mkimbie humu.
   
 15. U

  Uwezo Tunao JF-Expert Member

  #15
  Jan 22, 2012
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 6,947
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  CHADEMA ni sharti kifikishe demokrasia ya kweli na utetezi wa HESHMA NA UTU WA MTANZANIA jimboni Uzini Visiwani Zanzibar kwa nguvu zote.

  BAVICHA tawi la visiwani, tunajua fika mapigo yenu kama mlivyofanya kule Igunga; ngome inogile kwa siasa za mtu kwa mtu na chumba kwa chumba mpaka CCM kije kishangae na roho yake mambo yatakvyokua hapo mbeleni kidogo.


   
 16. N

  Ngekewa JF-Expert Member

  #16
  Jan 22, 2012
  Joined: Jul 8, 2008
  Messages: 7,730
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Hivyo Zanzibar inatambuliwa na CHADEMA? Samahani nauliza hivyo baada ya kuona ujumbe uliokwenda kumuona Rais Kikwete kule Ikulu. Maneno bila vitendo si uungwana!
   
 17. N

  Ngekewa JF-Expert Member

  #17
  Jan 22, 2012
  Joined: Jul 8, 2008
  Messages: 7,730
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Bahati mbaya mtazamo wako hauendi na hao wanachama wa CHADEMA huku. Tatizo la Zanzibar Siasa kwao si jambo la kulifanyia majaribio na hilo CDM inabidi watambue!
   
 18. Tuko

  Tuko JF Bronze Member

  #18
  Jan 22, 2012
  Joined: Jul 29, 2010
  Messages: 11,186
  Likes Received: 397
  Trophy Points: 180
  Kwangu sihesabu ushindi wa CDM kama kuchukua jimbo, ila wakipata walau 10% ya kura... (dont ask me why?)
   
 19. N

  Ngekewa JF-Expert Member

  #19
  Jan 22, 2012
  Joined: Jul 8, 2008
  Messages: 7,730
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135

  Hivyo hujayaona ya Bungeni? Wapi tena mlikoweka wataalamu wenu? Hivyo mnadhani Zanzibar mtaifanyia utafiti eti mpate ushindi? Kama hamjaijuwa sasa mnafikiri muda mfupi utawasaidia? Haya wala urojo tunawangojea!
   
 20. Helper

  Helper JF-Expert Member

  #20
  Jan 22, 2012
  Joined: Dec 13, 2011
  Messages: 915
  Likes Received: 318
  Trophy Points: 80
  mbona nanyie mnawakejeli wakrstu? 2achane na mambo ya udini kwani wote 2watoto wa Mungu mmoja 2sameheane 2napokoseana.
   
Loading...