Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 18,664
- 22,256
Kuliko mipasho inayotolewa na viongozi wa CCM ambao mpaka leo wanaamini nchi hii ni ya wanaccm tu! Hampati maji nyie si mlimchagua mbunge wa Chadema!Barua haijaandikwa ki maadili imejaa mipasho na vifijo