Chadema yajikita Kyela; CCM warudisha kadi kwa mamia...

Mie napata kichefuchefu hawa CDM wanapojipa misifa kuwa wanazidi kufungua matawi na kuingiza wanachama kibao!
Wajiulize yafuatayo;

1. CCM ina matawi mangapi Kyela
2. CCM kuondokewa na wanachama 400 ni suala ndogo; hivyo ni sawa na mto msimbazi kuacha kutitirisha maji bahari ya hindi; athari itakuwa KIDICHU.

CDM mtatumia ulaghai lakini 2015 mtapigwa vibaya sana!!!!

Viwavi jeshi mna bidii kweli kweli lakini mjue mamilioni ya watanganyika wanaoshiriki maanadamano na mikutano ya CDM hawajui kitu inaitwa JF. Sasa nyie ongezeni nguvu humu ukumbini wakati CDM wanawafikia mamilioni ya watanganyika kila uchao then tuone mwisho wa siku nani atacheka.Tatizo lenu CCM mumefikia ukomo wa kufikiri na kutenda, kwa vile yule chapombe wenu kawaambia JF ndiyo imewakosesha ushindi wa kishindo basi mumeivamia kama ndege za Bush zilivyovamia Afghanistan, poleni sana.
 
Hivi tbc1 wanaonesha na kutangaza yote haya?............maana ni chombo cha kinafiki zaidi.....tutapata tu habari zote hata bila wao kwani wametekwa na mafisadi wa ccm
chadema kazeni mwendo tuko pamoja

Hata siku moja hawataonyesha maandamano ya CDM, wako radhi waonyeshe mazisi ya Mama yake SPIKA, other wise kiwe negative
 
Safi sana, kazi iliyobaki kwa CHADEMA ni kufungua matawi na kujiimarisha ili kuhakikisha 2015 hawapati hata nafasi ya kuchakachua.Endeleeni na kazi zuri,Sisi huku GEITA tumemsambaratisha Msukuma na hoja zake dhaifu,nitawajuza zaidi.
 
Back
Top Bottom