Naipendatz
JF-Expert Member
- Jul 27, 2011
- 5,080
- 8,218
Huyu jamaa sometimes awe anakaa kimya tu, or awe anasubiri jazba zishuke ndiyo aongee, kitu gani hiki anaandika?Mr belgiji kawambia andamaneni mbona hamuendi? View attachment 1862385
Huyu jamaa sometimes awe anakaa kimya tu, or awe anasubiri jazba zishuke ndiyo aongee, kitu gani hiki anaandika?Mr belgiji kawambia andamaneni mbona hamuendi? View attachment 1862385
Akili za kubeti nazo ni shida tu, sijui ndo kipawa utawarisisha familia YAKO!Kaandamane si loketo kasema andamaneniView attachment 1862381
Nenda road mbelihiji kasemaAkili za kubeti nazo ni shida tu, sijui ndo kipawa utawarisisha familia YAKO!
Nitaenda maana ninayo akili timamu na sio za kubetNenda road mbelihiji kasema
Atakuwa kashatangulizwaKatibu Mkuu wa Chadema Mh John Mnyika atazungumza na Waandishi wa Habari Mchana huu kwenye ofisi za Makao Makuu ya chama Kinondoni Dar es Salaam .
muda ni kuanzia saa 9:00 mchana huu
MUHIMU : Tufuate Mwongozo wa WHO wa kujikinga na Corona .
wote mnakaribishwa
======
Mbowe hajulikani alipo , yasemekana ameondolewa Mkoani Mwanza , na kufichwa kusikojulikana , haijulikani kama yuko hai au la
Imeagizwa kila Mwanachadema kumtafuta Mwenyekiti wao popote na kwa kutumia njia zozote zitakazoonekana zinafaa.
Utaandamania hapa jf?Nitaenda maana ninayo akili timamu na sio za kubet
Unafikili kila mtu ana akili nyepesi Kama YAKO iliozoea kubeti,Utaandamania hapa jf?
Kwa hiyo uko barabara gani?Unafikili kila mtu ana akili nyepesi Kama YAKO iliozoea kubeti,
Nusu Saa nitakua Mwanza sema lingineKwa hiyo uko barabara gani? View attachment 1862446
Nyumbu bado wanapenda Ugali ,🤣🤣Mr belgiji kawambia andamaneni mbona hamuendi? View attachment 1862385
Yani mpaka uende mwanza?Nusu Saa nitakua Mwanza sema lingine
Lisu hana mvuto kabisa kwa wafuasi wake ndio maana aligalagazwa na Nyarandu kwenye kamati kuu!Nyumbu bado wanapenda Ugali ,
Tekeleza msemo wa aliekua Dc wa Iringa then hacha akili kubwa , ishughulike na Mambo makubwaYani mpaka uende mwanza?
Belgiji si kasema ingieni mitaani huko huko mliko?
Matamko kama kawaida
Kabla ya kuandamana kwanza wakajisajili chama cha walemavu Tanzania(CHAWATA).Kwa hiyo uko barabara gani? View attachment 1862446
Kwani mliwafanyaje? Mliwafanya kama mlivyowafanya wale 19? Bahati mbaya kwa tatizo hili baya la korona ya delta kikao cha baraza kuu lenu hakitawezekana hadi janga hili la korona litakapoisha mwaka 2025. Poleni sana. Ni mapenzi ya Mungu! Haiwezi ikawa buisiness as usual wakati kuna janga la delta linalotutaka tusipumuliane.ungezijua sababu za watu hao kurudi ccm bila shaka ungejificha kwa aibu