CHADEMA yaiteua tarehe 5 Agosti 2021 kuwa siku ya kupinga mashitaka dhidi ya Freeman Mbowe nchi nzima

brazaj

JF-Expert Member
Jul 26, 2016
12,581
2,000
Halafu hawa wanasiasa wasichekewe.Ni kama kinyonga.

Wakati wa Magufuli anasema Corona haipo Tanzania,wao walikuwa mstari wa mbele kusema ipo na nchi iwekwe 'lockdown'.

Sasa hivi Rais anasema Corona ipo.Wao wanataka mikusanyiko iruhusiwe.

Why!??

Hivi mbio za mwenge zimesimama au ni mashindano ya kuandika utopolo?
 

brazaj

JF-Expert Member
Jul 26, 2016
12,581
2,000
Uliyemnukuu hapo juu ni mumeo au??😂😂
Wapi unaposoma kunukuliwa mburumundu wa kijani wewe. Akunukuu nani wewe? Una nini?

IMG_20210805_203415_046.jpg


You certainly now look very beautiful.

Nyambafu!
 

nguruka wa kig0ma

JF-Expert Member
Jan 16, 2020
2,572
2,000
Halafu hawa wanasiasa wasichekewe.Ni kama kinyonga.

Wakati wa Magufuli anasema Corona haipo Tanzania,wao walikuwa mstari wa mbele kusema ipo na nchi iwekwe 'lockdown'.

Sasa hivi Rais anasema Corona ipo.Wao wanataka mikusanyiko iruhusiwe.

Why!??
Wewe nae bongo lala kwelikweli!
Walipokuwa wanapokea ndege walikusanyikia vitandani,?

Kigoma kombe LA azam walikusanyikia guest house?

Mbio za mwenge zinazoendelea je,,
Wanakusanyikia casino,?
Pumbavu ,watu kama Wewe mnawatafutia wengine kupigwa ban.

Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
 

zandrano

JF-Expert Member
Jan 24, 2017
3,846
2,000
Wapenda amani kote nchini na wazalendo wa nchi popote pale walipo kamwe tusikubali hawa wahuni wachache wanao jifanya wanadai haki kwa kuvunja sheria watuharibie Amani ya nchi yetu.
tuchukue hatua za kuwafichua na kuwa ripoti popote pale walipo.
sio wafuasi wote wa chadema wanafurahia uhuni huu bali wapo wahuni wachache wenye chembe chembe za Ugaidi/uhalifu/ujanbazi/wizi ndio wanafanya vitendo hivi vya kihuni ili wapate sababu.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom