CHADEMA yaiteua siku ya Jumamosi kuwa siku ya wananchi kuvaa sare za chama hicho nchi nzima

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,348
217,387
Hili ndilo Tamko jipya la Chama hicho lililotolewa na Mwenyekiti wake Mwamba Freeman Mbowe akiwa kwenye mpango wa OPERESHENI HAKI inayoendelea mkoani Morogoro, lengo la Mkakati huu ni kuongeza uzalendo na kuihifadhi Chadema ndani ya vichwa vya wananchi ili kuhamasisha ukombozi

Kama ni Gwanda, M4C, Mwamba Tuvushe , Chadema Digital , kofia au Skafu uchaguzi utakuwa ni wako
 
Hili ndilo Tamko jipya la Chama hicho lililotolewa na Mwenyekiti wake akiwa kwenye mpango wa OPERESHENI HAKI inayoendelea mkoani Morogoro

Kama ni Gwanda , M4C , Mwamba Tuvushe , Chadema Digital , kofia au Skafu uchaguzi utakuwa ni wako
matapeli nyie mnataka muanze biashara ya Sare tena Nawaambieni watu hawatapeliwi tena Chadema is gone limebaki jina tu shida ni kuwa na kiongoji katili jizi jambazi na tapeli Mr Zero brain i can't breathe Nkyyaaa Mbooye
 
Back
Top Bottom