CHADEMA yaitesa CCM Kyela

Hapo ndipo kwetu;karibu sana na nyumba ya wazazi wa Meya wa Kinondoni Yusufu Mwenda!
Narudi kumtoa Kipeja kwenye udiwani wa Kyela mjini hata yy anajua hilo na CHADEMA tutaongoza Halmashauri!
Niungeni mkono wadau!!

Wewe unatoka mikoroshini. Mkuu kayatoe magamba yameipausha wilaya yetu badala ya kwenda mbele kyela inarudi nyuma
 
kuelekea 2015 tuna ahidi kuweka wazi kila uozo mahali popote katika nchi hii .
 
kuna kijiji kinaitwa NJISI karibu na ziwa nyasa , mbele ya kajunjumele nimeikuta CLUB YA POMBE INAITWA NGULA NGOGE , NILISHANGAA SANA KUKUTA BENDERA ZA CDM ZINAPEPEA HAPO !

Na hapo ndipo nyumbani kwa asili kwa Mbunge Mwakyembe ingawaje hapatani sana na diwani Mzee Majuni!

Kata ingine rahisi sana kwa CHADEMA hiyo!Oscar Korosso hataki kuja CHADEMA 2015 so udiwani atausikia tu kwenye radio!
 
umeiona barabara yenye jina lake pale juu , ile ya kutoka posta hadi bondeni inayopitia benki mpya huku nyuma ya hospitali ya wilaya ? Ukiona utazimia !

Ile barabara wakati wa masika ukishuka nayo hadi kilabu cha Mkibege au ukipanda nayo hadi polisi na kukata kona kuingia Mikumi na Tacoshili huwa tunavua kambale barabarani!

Dr Mwakyembe kweli katuweza!
 
2015 tunakabidhi halmashauri kwa cdm .

Leo Dr Mwakyembe kafuturisha WAISLAM wote waliopo kwenye kata za Kyela!Hapa mjini WAISLAM wanekusanyika uwanja wa Mwakangale na kata zingine zimepewa miongozo wapi wakutane kwa futari!

Hajawahi fanya haya mambo kwa miaka yake 9 ya madarakani iweje leo bado mwaka uchaguzi?
 
Malafyale uko Kyela wewe kwasasa? Uchaguzi wa mwaka 2015 utakuwa kipimo kizuri sana Kyela kuona kama wameamka au bado wamelala. Kila nikitazama barabara na jinsi maendeleo yanavyorudi nyuma badala ya kwenda mbele Unamkumbuka Mzee wetu Lumuli Alipipi Kasyupa,heri zama zile kuliko ilivyo sasa Mbunge wetu ni zaidi ya Diamond Platinumz ni msanii sana sana! Nitashangaa kama atapewa tena miaka 5 mingine
 
Last edited by a moderator:

Hapana silas A.K
Kwa sasa nipo mara moja nje ya Kyela lkn nitakuwa Kyela weeks 2 zijazo na nitarudi hapo for good!Nitagombea udiwani 2015 na nina option kwenye kata 3 na zote nitashinda!

Kwa baba yangu Kata ya Mwaya;kwa Mama yangu kata ya Ikimba na sehemu.niliyo soma na kukulia Kyela mjini!

Imani yangu ni kuwa Kyela tunazidi kuwa maskino sababu ya ulaghai wa CCM hasa walaji pale BOMANI!Niunge mkono pls
 
Last edited by a moderator:
Leo Dr Mwakyembe kafuturisha WAISLAM wote waliopo kwenye kata za Kyela!Hapa mjini WAISLAM wanekusanyika uwanja wa Mwakangale na kata zingine zimepewa miongozo wapi wakutane kwa futari!

Hajawahi fanya haya mambo kwa miaka yake 9 ya madarakani iweje leo bado mwaka uchaguzi?

hilo nililifahamu sikutaka kuliweka hapa kwa sababu maalum , hiyo ni rushwa HUWEZI KUWAKUSANYA WAUMINI KWENYE UWANJA WA SOKA KISA FUTARI !
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom