CHADEMA yainyuka CCM Mbozi

Hakuna MFANYAKAZI, MKULIMA, MFANYABIASHARA ama MWANAFUNZI anayeweza kuichagua chama cha magaidi ccm ila tu viongozi wanaosaka vyeo na kuwekeza kwenye matumbo yao.....
 
Huo ndiyo ukweli haswa maana bila kulindwa na wenye mabavu sasa hivi ccm ingekuwa imesha sahaulika
Imepoteza legitimacy ya kuongoza watu.Badala ya kuwapa watu makini wanawapa wanaojifunza kuongoza

In God we Trust
 
Mbozi ni ngome mojawapo madhubuti ya CHADEMA, hali ya kisiasa Mbozi chini ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo wananchi wanaikubali sana na kuielewa, hakika wananchi wa Mbozi wanajisikia fahari kwao kuzienzi sera za demokrasia na maendeleo.



MBUNGE WA JIMBO LA MBOZI PASCAL HAONGA (CHADEMA) KAANZA NA MPYA MWAKA 2020
 
Watafungiliwa kesi mbalimbali ikiwemo za uhujumu uchumi na kutaharisha amani ya nchi
Wakati leo hii Komu, mbunge wa Moshi Vijijini akiamua kukihama CHADEMA, huko Mbozi wana CCM zaidi ya 50 wamejiunga na CHADEMA.

Wananchi hao wameeleza kuridhishwa na uongozi wa CHADEMA unavyowajali watanzania na kuwa na siasa za kistaarabu kuliko vyama vingine vya siasa hapa nchini.

Pichani ni mbunge wa Mbozi, Pascal Haonga akiwapokea wanachama hao walio jiunga na CHADEMA. View attachment 1403156

In God we Trust

Jr
 
March 11, 2020

WANAWAKE CHADEMA MKOA WA SONGWE WALICHO KISEMA HIKI HAPA WAKIWA MBOZI MISSION

 
Cdm kweli ipo mioyoni mwa watanzania
March 11, 2020

WANAWAKE CHADEMA MKOA WA SONGWE WALICHO KISEMA HIKI HAPA WAKIWA MBOZI MISSION

FB_IMG_1585504110682.jpeg


In God we Trust
 
Pascal haonga yuko vizuri, wasiwasi wangu Ni kwa yule mbunge Wa momba, silinde huenda yuko njiani kwenda Lumumba.
 
Back
Top Bottom