CHADEMA yaingiza magari mapya kwa ajili ya shughuli za uenezi wa chama

Siasa za Tanzania zinafurahisha sana!

Ajenda inayosema Mbowe anafuja pesa za ruzuku za chama imetafutiwa magari ya ''sample'' ili ifutwe kisiasa!

Toka lini ukaleta magari matano ya ''sample'' na wakati hata huko nyuma ulinunua magari ya aina hiyo hiyo!

Mtu mwenye akili timamu akikudanganya huku akijua kuwa una akili timamu na wewe ukadanganyika, atakudharau sana! Viongozi wakuu wa CHADEMA wanawadharau sana wanachama na wafuasi wao!
Wewe hata moja huna!
 
Kuhusu CCM unaikumbuka ile operation ya Nape na Kinana kila mkoa kila kijiji kutatua changamoto za wananchi.

Kama CDM nao wanauchungu na nchi yao wafanye harambee km zile sio wanunue magari ya kwenda kufanyia propaganda zisizo na msingi

Muda nadhani ni ukuta jamani hebu tubadilike na kuelimishana.Kila dhama ina mambo yake kwani hujui kwa sasa huruhusiwa kufanya kampeni sehemu au jimbo ambalo si lako?Au mm ndo cjui hebu tusaidiane humu ndani.MM ninachojua kipindi cha akina Kinana kilikuwa na mambo yake na sasa kuna mambo yake.kwani chama kununua vitendeakazi ni tatizo au tatizo ni kuposti hiyo taarifa humu jf?
 
Zuio ni kwa Wabunge na Madiwani lakini Mwenyekiti, Katibu mkuu wana uwezo wa kutembelea majimbo yoyote kuangalia kazi za chama
 
Tutakutana baada ya ukaguzi wa hesabu za chama - mjanja hakawii kukuambia gari moja shilingi 600M
 
Priority kwenye ujenzi wa chama ni ipi? Utajenga chama huku umekaa ofisini ukipigwa kiyoyozi?
CDM mpo sahihi nendeni kwa wanachama wenu tena wengi wao wapo vijijini barabara mbovu; haya pigeni kazi gari hizo.
Chama kina miaka zaidi ya ishirini bado kinajengwa tuu!!
 
Nakutaka wewe na kiherehere chako cha kujiiona uko matawi kumbe we ni mlamba viatu tu hapo Lumumba.
Douglas, Ijumaa njema, Mdogo wangu hii tabia ya kebehi kwa dada zetu ni mbaya sana. Kila mtu ana uhuru wa maoni yake, sioni sababu ya malumbano na matusi. Kama kushabikia chama imekuwa ni kulamba viatu, basi sote tulio chadema,ccm nk tuwalamba viatu vya waongozi.
 
Unajua malumbano yangu na huyo dada yaliazia wapi? Soma post #279
 
Habari hii ni kwa mujibu wa tweet ya Chadema Media ambapo wame-post na picha ya baadhi ya magari kama sample na yote yakiwa na nembo ya "M4C".

Magari hayo yatatumika kwa ajili ya shughuli za uenezi wa chama ikiwa ni pamoja na kusaidia programu za uchaguzi na pia kutumika kueneza sera za chama zilizohusishwa na kuzinduliwa hivi katibuni.

Hongereni sana CHADEMA!
View attachment 901153
Jengeni jengo la makao makuu lenye hadhi na kitega uchumi kwani muda si mrefu hamtakuwa na ruzuku. Mtalua na kusaga meno
 
Nakutaka wewe na kiherehere chako cha kujiiona uko matawi kumbe we ni mlamba viatu tu hapo Lumumba.

Wengi humu mmenipa kazi huko Lumumba.. embu nikumbushe basi uliota nimeajiliwa lini huko?

Inaelekea mnatamani niwe wa Lumumba.. embu ota tena uje uniambie nitaingiaje ili niwe nawanyoosha haswa humu🤣🤣
🤡
 
Wenyewe wanachama wala hawana habari.

Waombe Mungu tu yasiwe yamenunuliwa kwa mkopo wa JANJA YA TOWN.

Back
Top Bottom