CHADEMA yaingiza magari mapya kwa ajili ya shughuli za uenezi wa chama

Mimi ni mwanaume tena wa shoka lakini siwezi kuvumilia mambo ya kijinga.
Kijana pole sana, mwanamume wa kishoka sio nguvu za mwili au kitandani, ni nguvu za kiakili na kutumia busara. Mwanamume kishoka haudhwi na mambo ya kijinga bali anayadharau.

Only a very weak person get angry easily.
 
Mkirindi achana na mimi usinipangie namna ya kuishi wala hicho kingereza chako cha kuunga unga siyo kigezo kwamba wewe unajua kitu.
 
Utakosa maendeleo kijana, kwa hasira. Na ukiendelea hivi utakufa haraka sana, Asitefundishwa kwao atafundishwa na ulimwengu. Na mimi ni baadhi ya ulimwengu. Keep your and keep smiling you live longer and happy.

Take care and bye for now, we dont to see boiling up for nothing.
 
I meant keep your cool. You know using these super smart phones one make lots of typos
 
Utakosa maendeleo kijana, kwa hasira. Na ukiendelea hivi utakufa haraka sana, Asitefundishwa kwao atafundishwa na ulimwengu. Na mimi ni baadhi ya ulimwengu. Keep your and keep smiling you live longer and happy.

Take care and bye for now, we dont to see boiling up for nothing.

Wewe boya kweli kweli umeacha kujadili mada iliyopo mezani unanijadili mimi. Halafu koma kuniita kijana nina umri wa kutosha kuwa baba yako. Na hicho kingereza cha ko cha MEMKWA ishia nacho huko huko.
 
Hahaha Thank you my brother, you cannot be my fathers age, otherwise you will have to be 80years ++++, i believe brother seems ok. Samahani kama nimekukosea, ilikuwa sio dhamira yangu. Bali sipendi kuona mwanamume tena jitu zima anabezana na msichana, kwa mila zetu tanzania ni aibu, ila hii mila mpya ya mitandaoni inatufundisha kukosa heshima.

Siku njema kaka, na tusameheyani na tupendane , sisi watanzania ni kitu kimoja.
 
Imbecile, buffoon, uncouth and certified idiot, that is what you are.
 
Back
Top Bottom