Chadema yaimwaga ccm uchaguzi mdogo mbinga

daniel merengo

JF-Expert Member
Aug 19, 2011
277
98
Uchaguzi mdogo huko mbinga,kata ya mkako,kijiji cha Amani CCM imeangukia KISOGO baada ya mgombea wa chadema kupata kura 58 kati ya kura 103 zilizopigwa .Zama za MAGAMBA ZIMEFIKA.wajiandae kuwa wapinzani
 
Habari njema sana hizi.
 
Amini amini nawaambieni zama za ccm ziko ukingoni Kwa uwezo wa MOLA tutaing'oa tu na hakika nawaambieni KILA KITU KINA MWANZO NA MWISHO...POLEPOLE NDIYO HATUA...
 
Uchaguzi mdogo huko mbinga,kata ya mkako,kijiji cha Amani CCM imeangukia KISOGO baada ya mgombea wa chadema kupata kura 58 kati ya kura 103 zilizopigwa .Zama za MAGAMBA ZIMEFIKA.wajiandae kuwa wapinzani
kabla ya uchaguzi chama gani kilikuwa na uongozi huo?
 
kamanda kijiji hiki nitofauti na kilekilicho lipotiwa wiki lililopita lajana yaani alikokuwa anatoka gama?......nijulishen tafadhari
 
3545905_orig.jpg

Mgombea aliyeshinda Uenyekiti wa Kitongoji cha Masangu kijiji cha Amani Makolo, Wilaya ya Mbinga Mkoani Ruvuma Nestory Komba wakati akiomba kura

mbinga mnanifurahisha sana kumbe nyie wamatengo mmechoka sana ukandamizaji wa maccm sio kama wanyiramba wa mwigulu
 
Hakika,Kwa kila sehemu ambayo Wananchi wamejitambua,CCM lazima iangukie Pua.Haijatekeleza ilichowaahidi Wananchi kwa Kiwango kikubwa na haina Watu wa kuwafafanulia wananchi sababu za kushindwa kutekeleza ahadi zao.
 
Back
Top Bottom