CHADEMA yaigaragaza CCM kesi za Udiwani Jiji la Mbeya

images-48.png
2016-10-04-09-17-34--839616435.jpeg
 
sasa mnavyotuambia hii nchi inaendeshwaa kidiktetaa je ? hizo kesi mngeshindaaa??
 
KESI za uchaguzi nilizotolewa maamuzi jana kwa kata NNE za IRINGA mjini CHADEMA imeshinda zote NNE na CCM Kuambulia 0. KATA HIZO NI KIHESA, MAKORONGONI, RUAHA na MWANGATA

Huwa kila siku najiuliza kuhusu wewe,Ni Mwanahabari huru au Mwanahabari wa CHADEMA.
 
maimbo yote watashinda ngoma iko kwenye jimbo la Kafulila hapo Hakimu lazima atafanya kama yule refa wa simba na yanga
 
Back
Top Bottom