CHADEMA yaibwaga CCM Arumeru Mashariki; CCM Yakubali kushindwa (Zaidi ya kura 6,000)

Povu linawatoka balaaa!!!! Peopleeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! ............................
 
Jamani, watu wa ccm mmkubali hiki kipigo???????????????????????????????????????????????????????????????????
Mungu ibariki tanzania na watu wake.
 
1.jpg
 
CHADEMA walisema TBC hawa kavi uchaguzi kwa haki, wakalalamika weeeee... the guy wins and the first interview he gives is to TBC

Hii haisaidii kutuma ujumbe kwa TBC kwa ajili ya chaguzi zijazo, wanasiasa wa Tanzania wanaangalia mambo kirahisi rahisiiii...
 
ahsanteeee!!!!!,,, kweli inapendeza,,,,
 

Attachments

  • 529036_198467213598147_100003046086820_313056_1699493831_n.jpg
    529036_198467213598147_100003046086820_313056_1699493831_n.jpg
    37.6 KB · Views: 79
wakati tunasubiri tarehe 10 april, inabidi tufanye mchakato wa kumpelela Lusinde mahakamani, ni muhimu viongozi wawe mfano bora kwa kujiheshimu, vichaa vya kurogwa vinatibiwa kwa maombi, vichaa vya kuzaliwa vinatibiwa mahakamani

Huyo mwehu anatuharibia watoto inabidwa apelekwe mirembe au afungwe kabisa.
 
Hongereni Wana Arumeru, hongereni Watanzania, Hongera kwetu wana Chadema;-)..Hongera sana mheshimiwa Mbunge..Sauti ya wana Arumeru imesikika loud and clear!!
 
Pongezi za dhati ziwafikie viongozi na wanachama wote wa CHADEMA kwa busara za hali ya juu za kutumia nguvu ya umma hadi nchi ikatetemeka. Kampeni zilikuwa zimeenda shule na zilikuwa za kistaarabu. Sijui kale kagazeti feki ka udaku wa kisiasa kinachoitwa UHURU safari hii kitaandika nini.
Labda niseme ambaye hajaona hadi sasa dalili zikoje kwa kusoma alama za nyakati, basi huyo asamehewe bure.
A man can only rise, conquer and achieve by lifting his thoughts
 
BAADA YA MATOKEA HAYO tUNAOMBA MKAPA, LUSINDE NA WASIRA WATOE HOTUBA FUPI YA KUWASHUKURU WANANCHI:A S shade:....HEHEHEHEHEH

Kura 26,000 bado ni nyingi kwakweli wanahitajika kufanya hivyo. Ndio ubinadamu hata yule aliyepata kura 22 nayeye anatakiwa awashukuru walioacha shughuli zao kwenda kumpigia kura. Unless kama wanataka kuonyesha they real don't care.
 
Nape alitamba kuwa chama chake kitashinda kwa kura nyingi kuliko kilizopata Igunga, yako wapi aliyosema kama siyo aibu tupu. Hongera CHADEMA kwa kuongeza idadi ya makamanda wa kupinga ufisadi
 
173 Reactions
Reply
Back
Top Bottom