CHADEMA yaibwaga CCM Arumeru Mashariki; CCM Yakubali kushindwa (Zaidi ya kura 6,000)

Hivi ndivyo tunavyothubutu na kuweza I'm sure wanaArumeru wamefanya walichokiahidi na Mungu kasikia kilio chao. Sasa kazi kwako kamanda Joshua (Max)
 
Wapi? Viwanja vya Leganga.

Muda gani? Saa saba mchana.

Tukio: Shukrani kwa Watanzania kusaidia ushindi wa Kata za Kirumba- Mwanza, Songea, na Kiwira-Rungwe Mbeya pamoja na kuongeza Mbunge wa 49 bungeni.

Burudani: Itatolewa na yeyote mwenye uwezo.

Chopa kushambulia anga

Hoja za kitaifa kutolewa na Makamanda wa anga na ardhini

wananchi kukinanga chama.
 
Tunakuja baba..........................hadi raha..................................
 
uuwiiii pipo pipo pipo pipo pipo pipo pipo pipopower power power pipopower power power
 
" WAKIKUBALI WAKIKATAA x 2 NI HALI HALISI" NIMEKUMBUKA VERSE HII YA SUGU LONG TIME NIKIWA PUGU SEC.
MAGAMBA ZIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIII
 
Nina washukuru viongozi wote wa chadema kwa kazi nzuri mliyoifanya na hasa nawashkuru wana Arumeru kwa kukubali kumchagua kijawetu Nasari awe mbunge wenu.Hamjakosea kufanya na mungu atamuongaza na hatimaye taifa zima litakombolewa
 
Itakuwa vyema na ya kupendeza zaidi, majukumu yaambatanayo na ushindi huo yatakaposherehekewa kwa nguvu zote kama sasa. Implementation of the manifesto is the ultimate triumph...!
 
Waungwana wanasema mjinga akitambua ,mwelevu upo matatani. Ccm kwa miaka 50 ya uhuni imewafanya watanzania wajinga kama mtaji but M4C haitawaacha salama.
 
173 Reactions
Reply
Back
Top Bottom