CHADEMA yaibuka kidedea uchaguzi wa mwenyekiti NGUZO NANE - Shinyanga

hongera kamanda tuwakilishe vyema! use zis opportunity effectively. na hata ikitokea nafasi ya kiongozi wa wakulima wadogowadogo (peasant) yaani full kutia maguu hatuachi kitu.
 
Sikutegemea viongozi wa sehemu za huduma za jamii washindanishwe kwa itikadi ya vyama vyao. Kama ni sokoni wangeangalia mfanya biashara miongoni mwao atakayetetea huduma za wafanyabiashara kama usafi sokoni, kupatikana kwa huduma nyinginezo kama maji na vyoo.
kwa yote uliyoyataja, wanasoko wameona HASAN BARUT WA CHADEMA NDIYE ANAYEFAA.
 
Back
Top Bottom