Chadema yafunika Mwanga

ngurati

JF-Expert Member
Feb 14, 2011
221
240
Nipo mwanga, Chadema Wana mkutano wa hadhara unahytubiwa na Katibu wa Chadema mkoa wa kilimanjaro kamanda Basil Lema, kamanda Kilewo, kamanda Nassari Joshua aliyegombea arumeru mashariki, diwani Nanyaro wa arusha, na kamanda kombe.

My take: hawa jamaa hawchoki na wapo serious sana. Walikuwepo wote igunga juzi tu hawajapumzika Leo wapo mwanga. Kweli hakuna kulala
 
safi sana!!! kwa maana hapo mwanga bado kuna mizizi ya ccm so nafikiri watakuwa wamefanya great step ili kuwafunua wananchi piaitakuwa ni kuintroduce chama huko!! ahyo ni maandalizi mazuri kwa ajili ya 2015!! big up CDM
 
Kweli makamanda nawakubali!! Ila naomba kujua Mwanga iko sehemu gani(fafanua). Na vp raia mwamko wao, wanaonekana kuuchukia wizi na kujitambua au bado wanaitaji elimu ya uraia?(maoni yako mkuu).
 
Go Chadema. Tunatakiwa kuwambia watu habari hasa za magamba na wake zake. Waielewe na kuikataa.
 
Kweli makamanda nawakubali!! Ila naomba kujua Mwanga iko sehemu gani(fafanua). Na vp raia mwamko wao, wanaonekana kuuchukia wizi na kujitambua au bado wanaitaji elimu ya uraia?(maoni yako mkuu).

mwanga ya Moshi kaka
 
Katika wote Joshua Nassari ni funika bovu.Huyu dogo atafika mbali sana,Mungu aepushie mbali lakini laiti jimbo la Arumeru lingekuwa wazi mbona ingekuwa raha...
 
Nipo mwanga, Chadema Wana mkutano wa hadhara unahytubiwa na Katibu wa Chadema mkoa wa kilimanjaro kamanda Basil Lema, kamanda Kilewo, kamanda Nassari Joshua aliyegombea arumeru mashariki, diwani Nanyaro wa arusha, na kamanda kombe.

My take: hawa jamaa hawchoki na wapo serious sana. Walikuwepo wote igunga juzi tu hawajapumzika Leo wapo mwanga. Kweli hakuna kulala

mpunga upo na hautaisha ng'ooooooooo.
 
Chadema wafike Rorya kule watu amesha changanyikiwa .Fikeni mkeweke nguvu ya Chama .Spend like 4 days mnalima tu baada ya hapo najua yuke Mbunge Kihiyo atakuwa kapata somo na pesa zake .Fikeni kwa Wakurya tena Tarime , Sengeti , Mugumu watu wanawa hitaji sana sana .Nendeni Bunda mkamalize mzee wa kulala Bungeni .
 
Katika wote Joshua Nassari ni funika bovu.Huyu dogo atafika mbali sana,Mungu aepushie mbali lakini laiti jimbo la Arumeru lingekuwa wazi mbona ingekuwa raha...

Jamaa wamemaliza mkutano weonfoka kwa maandamano yanaelekea mwanga mjini. Pameamka
 
muda ulobaki to 2015 ni mdogo ni mwendo mdundo, acha watuite chama cha msimu lakini hatufanyi siasa za msimu
 
Back
Top Bottom