Chadema Yafunika Houston Texas, Linda Bezuidenhout aendelea kumake Headlines!!

Can I have her phone number?
295978_464389016928641_1517199944_n.jpg
Mkuu huyo ni mke wa Mr Mali Kimesera, subili ana mabinti zake wazuri kuliko yeye na ni over 18 nitume ushenga tu kwa binti yake mkubwa.
 
Mkuu huyo ni mke wa Mr Mali Kimesera, subili ana mabinti zake wazuri kuliko yeye na ni over 18 nitume ushenga tu kwa binti yake mkubwa.
Mkuu picha kwanza ya hao mabinti!! Hahaha, Lol like daughters like mother.
 
masistaduu wengi hawana ujasiri wa kuweka wazi hisia zao za kisiasa kuhusu upinzani.sasa huyu kawaonyesha njia.
 
masistaduu wengi hawana ujasiri wa kuweka wazi hisia zao za kisiasa kuhusu upinzani.sasa huyu kawaonyesha njia.
Mkuu nadhani upo mawazoni mwangu na ndio sababu kuu ya mimi kuanzisha uzi huu, ni hasa kuwaonesha Dada zetu sasa ifike kikomo kuvalishwa ile mitshirt na kapelo na kanga za kijani na njano zilizolaaniwa.

LB anastahili sifa kutoka kwa Uongozi wa Chadema kwa kudesign dressing nzuri kwa ajili ya wadada na kinamama, na Nategemea watu kama kina Halima Mdee waanze kupiga Gwanda za LB Designer.
 
Matola hapa noamba nisema tu dada kwa kweli ni mzuri na kapendeza mno... Kumbe rangi za CDM zinafaa sana kushona. Kwa hapo CCM hawaoni ndani, too much yellow na Green.
 
578734_4209692037059_1263181495_n.jpg

Watatubania lakini wataachia tu, mnapiga watu mabomu kwenye maandamano lakini ukweli uko pale pale CHADEMA funika bovu, pichani ni ufunguzi tu wa tawi la CAHEDEMA Houston TX, USA...watu waliebuka nyomi kama mnavyowaona hapo, watu wenye akili zao na kazi zao ila wamekuja kuchukua card za CHADEMA kuonyesha msisitizo, Houton Texas beeeibyeee M4C FUNIKA BOVU........na baadoooo

CHADEMA HOUSTON TX, USA, wakiwa makini kusikiliza sera za Mh. Mbowe na Sugu, jamani mmetisheeerrrr...... full respect yaani......

HAPANA CHEZEYA MAJEMBE YETU KABISAAA......SUGU AND MR MBOWE......







chek nyomi ya CHADEM HIO TX, hadi raha....
Yaani M4C ninachopendea mimi viongozi wake na wanachama wake wapo very decent yaani, wana-maakili wametulia yaani hio 2015 Mungu atupe uzima tu, sina mengi ya kueleza the pics says it all, Ndio maana huko Tanzania sisiemu hawana raha kutwa kupiga mabomu wanachama wetu wanatuogopa maana wanajua 2015 na sisi tulio nje tukishuka bongo kupiga kura patakua hapakaliki; na mkae sawa sisiemu na kutishia watu kwa risasi sio ujanja.
 
Matola hapa noamba nisema tu dada kwa kweli ni mzuri na kapendeza mno... Kumbe rangi za CDM zinafaa sana kushona. Kwa hapo CCM hawaoni ndani, too much yellow na Green.
Umemaliza yote, na kwa uzuri tu naomba nimpe hongera mtoto wa Mzee Kimesera kwa kweli hili ni toto la nguvu na huwezi amini kama ana umri wa miaka 40.
 
Umemaliza yote, na kwa uzuri tu naomba nimpe hongera mtoto wa Mzee Kimesera kwa kweli hili ni toto la nguvu na huwezi amini kama ana umri wa miaka 40.

Umenifanya ninyanyuke nilipo nakajiangalie upya kwenye kioo... lol, I am officially jealous of her khaah!
 
Jamani huo Mguu!:mwaaah:
304696_464388383595371_2124825652_n.jpg

Huyu Linda mbona anatuharibia funga yetu? hivi kimodel kama hiki kweli utavumilia kufanya nacho biashara bila hata kughafirika?
Haya Dada hongera zako, tupe contact tuwanunulie hizo Gwanda michuchu wetu, je huyu Linda amefunguwa duka Tanzania au kupata hizo Gwanda inakuwaje?
 
Yaani wee acha, yule dada ambaye ukimchanja kiwembe basi damu yake ni Chadema tupu.
LB ameweka headline nyingine USA na nguo za uzinduzi wa tawi la Chadema Houston TX. Nguo zimejaa rangi nyekundu zikimaanisha damu za wanyonge na za Chadema zilizomwagika. Wanyonge ni watu Kama wamama wazazi waliofariki wakati wa kujifunguwa na vitoto vichanga na watu waliokufa kutokana na hali duni za hospitali zetu na matibabu

Mshono wa nguo ya Linda unaitwa Dueces CCM 2015. Na mshono wa wifi yake Asha wa Houston TX unaitwa mpaka kieleweke, kwa style hii CCM imeandaliwa makaburi kila pembe ya Dunia hii, sasa ni dhahiri kitaeleweka muda si mrefu.

Nb: kwa wale msiomjuwa Linda Bezuidenhout ni dada wa yule Richard Bezuidenhout ambaye alishinda kitita cha $ 100,000/= za Big Brother pia ni mkwe wa mzee Victor Kimesera.

226073_464386766928866_1809335857_n.jpg


Nguo ya LB imejaa rangi nyekundu kwa ndani ambayo ni dedicated to the innocent lives lost.

295978_464389016928641_1517199944_n.jpg


Sasa hata Walimbwende mnakaribishwa Chadema kwani kumesheheni kila aina ya ubunifu, ile minguo ya kijani na njano sasa hivi ni ishara ya laana kwako na kizazi chako chote.

304696_464388383595371_2124825652_n.jpg

hiyo nguo hainyanyuki zaidi ya hapo kwa kwenda juu labda ile ya ndani kabisa ina picha yangu!!!!!!!!!!
 
Umenifanya ninyanyuke nilipo nakajiangalie upya kwenye kioo... lol, I am officially jealous of her khaah!
AshaDii Haya hii ni compliments kwako kwa ruhusa ya Linda, hapo ni Mr & Mrs na Daughter.
Ujumbe Wanawake mjitunze mnaweza mkaishi hadi uzeeni huku mnavutia na mnatudatisha.



393809_462877217079821_614299827_n.jpg
 
Last edited by a moderator:
Matola licha ya hivo huyo dada ni mzuri naturale, yaani alizaliwa mzuri, ni dhahiri ana uwezo wa kimaisha vitu ambavo vyote ni hamasishi na husaidia kuwezesha jipenda kwa mtu (let alone mwanamke) wakati wote. Kwa kweli hio picha ya familia yake imeni inspire.
 
394561_3117369233417_740104655_n[1][1].jpg

yaani kwenye hiyo picha watu wanasikiliza kwa makini si mchezo. Sijui mbowe alikua adanganya nini (natania jamani).
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom