CHADEMA yafungua kesi kwenye Mahakama ya Haki EAC dhidi ya Serikali ya Rais Magufuli

Pistol

Senior Member
Oct 13, 2015
194
86
Habari za hivi Punde zilizonifikia Dawati langu la taarifa kutokea Arusha zinasema Naibu katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) John Mnyika leo akisaidiwa na Mwanasheria wa CHADEMA John Malya wamefungua Kesi kwenye Mahakama ya Afrika Mashariki kuhusu Unyanyasaji wa Bunge la Tanzania kwa wapinzani na Kuzuia Mikutano ya Kisiasa kinyume na Katiba

Cn4wDZ0XgAAuf7V.jpg

Cn4wDZ3XYAAzIb6.jpg

13769539_986632071455000_8399211607185129928_n.jpg

13707630_986630804788460_3272414228608413340_n.jpg
 
Habari za hivi Punde zilizonifikia Dawati langu la taarifa kutokea Arusha zinasema Naibu katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema John Mnyika Leo akisaidiwa na Mwanasheria wa Chadema John Malia wamefungua Kesi kwenye Mahakama ya Africa Mashariki kuhusu Unyanyasaji wa Bunge la Tanzania kwa wapinzani na Kuzuia Mikutano ya Kisiasa kinyume na Katiba

Stay tune kwa habari zaidi
 
Habari za hivi Punde zilizonifikia Dawati langu la taarifa kutokea Arusha zinasema Naibu katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema John Mnyika Leo akisaidiwa na Mwanasheria wa Chadema John Malia wamefungua Kesi kwenye Mahakama ya Africa Mashariki kuhusu Unyanyasaji wa Bunge la Tanzania kwa wapinzani

Stay tune kwa habari zaidi

cdm kuna pesa za kuchezea kweli si wakanunue hata mfuko wa saruji waanze ujenzi wa jengo lao
 
Hamna kitu hapo ni njia tu ya kula hela!! Sijasoma mashtaka wameandika nini? Lakini utakuta mashtaka ya kitoto ya oh uhuru wa kupata habari Live,Uhuru wa mikutano yaani hilo tabu utakuta limejaa vitu vya kijinga jinga kibao.Naona kama ni njia ya kula hela tu za ruzuku kwa mawakili na viongozi wa CHADEMA kwa kisingizio cha pesa ya safari na posho na gharama za mawakili ambao of course ni wana CHADEMA wenzao.

Hamna kesi hapo.Tabu litakuwa limeandikwa maneno mengi lakini lenye hoja za kitoto
 
Hapa hela zinaliwa vp ???
Mie nafikiri wao CDM ndio wata incur costs za ku run hiyo case.
Jaman ni kwamba akili zenu kuna watu wamewashikia ama ndio kujipendekeza mmekuwa ... kabisa
 
Hapa hela zinaliwa vp ???
Mie nafikiri wao CDM ndio wata incur costs za ku run hiyo case.
Jaman ni kwamba akili zenu kuna watu wamewashikia ama ndio kujipendekeza mmekuwa ...kabisa

Hao wote waliofungua kesi ni wakazi wa dar es salaam pamoja na mawakili wote ni wakazi wa dar.Kesi iko mahakamani arusha.Kwa hiyo kesi ikitajwa hao wanapanda ndege na posho za safari kwenda kwenye kesi Arusha wanakaa huko wanaongeza siku wanazuga waweza hata enda mbugani kutalii halafu wanarudi na ndege hao dar tena kwao.

Hela za kufumua hiki kibanda wajenge ofisi nzuri hawana ila hela za kesi na maandamano wanazo

chdm.jpg
 
Hahahaha mkuu umewapa makavu laivu, safi sana.
Wajinga ndio waliwao
 
Alafu baadaye unalalamika vijana wa chadema hawachaguliwi kwenye uDC na uDED, yaani mnawawekea usiku wenyewe, Nani atahangaika kufikiria mtu kutoka huko katika mazingira hayo mnayoyaunda wenyewe.
 
Hao wote waliofungua kesi ni wakazi wa dar es salaam pamoja na mawakili wote ni wakazi wa dar.Kesi iko mahakamani arusha.Kwa hiyo kesi ikitajwa hao wanapanda ndege na posho za safari kwenda kwenye kesi Arusha wanakaa huko wanaongeza siku wanazuga waweza hata enda mbugani kutalii halafu wanarudi na ndege hao dar tena kwao.

Hela za kufumua hiki kibanda wajenge ofisi nzuri hawana ila hela za kesi na maandamano wanazo

chdm.jpg

Kwenye hako kanyumba cdm wanatis aibu chama kubwa hata ofc ya maana hakuna. Iv hata mbowe unaonaje ukija kustafu unaacha ofc kwenye hako kanyumba!
 
Wanataka tu kuteka mind za watu kupitia media! Sijajua ni dili gani linapigwa. Walianza ICJ, ikaja ICC, ikaja UN, ikaja MCC, zote zikabuma, na sasa EAC ambako Mwenyekiti wa EAC ni JPM mwenyewe! Kwa wenye akili, limeisha.
 
Back
Top Bottom