CHADEMA yafika Mikoa 24 ya Tanzania Bara bila kukamatwa wala kuzuiliwa na Polisi

Shujaa Mwendazake

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
3,735
6,281
CHADEMA wamefika mikoa 24 kati ya 26 Tanzania Bara bila kukamatwa na Polisi au kutolewa amri za DC na RC kuzuia mikutano na vikao vya chama katika Mikoa 24 sasa iwe kwa maagizo kutoka juu au kwa taarifa za kiintelijensia.

Najaribu kuona kila jambo jema moja la Shujaa katika mabaya yake mengi, sipati.

Kwanini alidhamiria kuua vyama vya upinzani.

WHY?
 
Chadema wamefika mikoa 24 kati ya 26 Tanzania Bara bila kukamatwa na polisi au kutolewa amri za DC na RC kuzuia mikutano na vikao vya chama katika mikoa 24 sas, iwe kwa maagizo kutoka juu au kwa taarifa za kiintelijensia.
Najaribu kuona kila jambo jema moja la Shujaa katika mabaya yake mengi, sipati. Kwanini alidhamiria kuua vyama vya upinzani.
WHY?
Psychopathy alikuwa.
 
Kiongozi jambazi siku zote huwa hajiamini, muda wote anawaza kukamatwa na kuumbuliwa. Njia pekee kwao ni kuzuia wengine wasiongee kwa kutumia njia yeyote (halali or haramu).Kiongozi mwema siku zote huwa hana hofu ya watu kuongea, sababu anajua hata uongee kiasi gani yeye yupo clean.
 
Chadema wamefika mikoa 24 kati ya 26 Tanzania Bara bila kukamatwa na polisi au kutolewa amri za DC na RC kuzuia mikutano na vikao vya chama katika mikoa 24 sas, iwe kwa maagizo kutoka juu au kwa taarifa za kiintelijensia.
Najaribu kuona kila jambo jema moja la Shujaa katika mabaya yake mengi, sipati. Kwanini alidhamiria kuua vyama vya upinzani.
WHY?
Ni ushetani tu.
 
SI KWAKUWA WAMEKUA NA ADABU KUUBWAA? KIPINDI CHA NYUMA MIKUTANO YAO ILIJAA VITISHO NA MAANDAMANO. WATU WALITAMANI MAANDAMANO HADI MSIBANII, KWAHIO WAMEKUWA WAADILIFU KABISAA. MIMI NIMESHIRIKI KIKAO CHAO KIMOJA SIJAONA HATA LUGHA YOYOTE YA UCHOCHEZI WALA LUGHA CHAFU. KWAKWELI WAENDELEEE HIVO HIVOO NA MUNGU AWABARIKI.
 
CHADEMA wamefika mikoa 24 kati ya 26 Tanzania Bara bila kukamatwa na Polisi au kutolewa amri za DC na RC kuzuia mikutano na vikao vya chama katika Mikoa 24 sasa iwe kwa maagizo kutoka juu au kwa taarifa za kiintelijensia.

Najaribu kuona kila jambo jema moja la Shujaa katika mabaya yake mengi, sipati.

Kwanini alidhamiria kuua vyama vya upinzani.

WHY?
Alikuwa akijenga mazingira rafiki ndani na nje ya bunge ili aweze kubadilisha katiba kirahisi pasipo kuwepo kizuizi chochote kile akapate kutawala pasipokuwa na ukomo.
 
Chadema na vyama vingine vya siasa vimeachwa viendelee na shughuli zao, ili watapoangukia pua mwaka 2025, wasije na lawama za kuzuiliwa kufanya mikutano na mizunguko yao. Nadhani safar hii lawama zao watazihamishia kwa tume na katiba mpya. Kwa style hii ya uongozi wa mama uliotukuka, lazima viongozi wa upinzani watangaze kususia uchaguzi ili kuficha aibu watakayokumbana nayo mwaka 2025. Uongozi wa mama anatumia zaidi akili, utu, upendo na ujasiri, pia anatatua kero za wananchi wake, na hapindishi pindi sheria wala kuvunja katiba.
 
CHADEMA wamefika mikoa 24 kati ya 26 Tanzania Bara bila kukamatwa na Polisi au kutolewa amri za DC na RC kuzuia mikutano na vikao vya chama katika Mikoa 24 sasa iwe kwa maagizo kutoka juu au kwa taarifa za kiintelijensia.

Najaribu kuona kila jambo jema moja la Shujaa katika mabaya yake mengi, sipati.

Kwanini alidhamiria kuua vyama vya upinzani.

WHY?
Mnaridhika kwa vitu vidogo sana.....
Tume huru na katiba ndio vitu mnatakiwa kuvidai.....
 
Aulizwe Sirro imekuwaje tena, ile intelijensia yao imeishia wapi?
Hapana, hapa hakuna wa kuulizwa, siyo Polisi wala RCs au DCs! Wakuulizwa hapa ni Mbowe na CHADEMA yake! Kulikoni mbona sasa anafanya SIASA za "kiustaarabu" tofauti na hiyo miaka ya nyuma enzi za JPM? Jibu ni rahisi, CHADEMA, kwa sasa wameshika adabu, hawawezi kudiriki kufanya upuuzi wao uliopelekea kufungiwa kufanya siasa, ikiwa ni pamoja na mikutano ya hadhara. Wameshika adabu kweli kweli, na wakidiriki kurudia upuuzi wao wa siku za nyuma, watakiona CHA MTEMA KUNI. Huyu SSH hana mchezo.
 
Back
Top Bottom