Dawa ya Mjinga
JF-Expert Member
- Jun 12, 2009
- 382
- 145
Mimi nasema hawataingia Ikulu, si 2015 si 2020.
Wewe nani? Zomba? Tunajua Mungu si Zomba!
Mimi nasema hawataingia Ikulu, si 2015 si 2020.
kama wewe upendavyo chongo yaani uoni wala usikii kuhusu fact hizi, maisha bora kwa kila matanzania yameyeyuka ! huoni, ufisadi uliyokisili watu wanafisadi mpaka nauli ya brother! huoni, mabilioni yaliyofichwa uswiss! huoni, vijisent vya chenge! wewe huoni, hata ile chenji ya rada uliyouliyorudishiwa! wewe pia hili huoni na huna hata sababu ya kutaka kujua aliyeiba!, mkuu hivi vyote ni vyongo ambavyo kwa kupenda kizembe huvioni!. wakuu muorodhesheheni vyongo vya mlembo wake ambavyo sijaorodhesha hapa labda atatuelewa mtu huyu nini tunataka watanzania kaa!Ukipenda chongo utaona kengeza, wala sikulaumu kwa hilo.
Nani anasema M4C haitaiingiza Chadema madarakani 2015? Katika mkoa wa Morogoro ambao ni ngome ya ccm chadema imeweza kujizolea wanachama wapya 31,337 na kupokea kadi za CCM 8,000.
Wananchi wa Morogoro wameichangia chadema milioni 18 na uuzaji kadi umekipatia chama milioni 15. Kikubwa jiulize, kama wangekuwa wanagawa kadi bure kama ccm wangepata wanachama wangapi?
Nina imani kubwa nguvu hii ikiendelea, chadema itaingia ikulu 2015.
Source. Tz Daima, uk 4
Mimi nasema hawataingia Ikulu, si 2015 si 2020.
Nadhani lengo kubwa sio tu kuingia ikulu, ni kuleta mabadiliko, kuongeza fursa za uwakilishi katika ngazi za mitaa/vitongoji, kata, Majimbo, nk. Ujue kupata wabunge wapya 10 kwa chama cha upinzani kwa nchi kama Tanzania ni mafanikio makubwa sana kidemokrasia. So usijali sana kutokuingia ikulu mwaka 2015 au 2020, yaani hiyo ni miaka kidogo sana kwa mabadiliko ya kweli. ikitokea, it is well and good. Isipotokea, usikate tamaa kwasababu tayari vuguvugu la kidemokrasia litakuwa limeanzishwa. Naamini hata kama CDM wataingia ikulu kesho, hawatakuwa na furaha ya kweli kama watanzania wengi hawajaelewa hilo wimbi la mabadiliko, cause wataondolewa madarakani within muda mfupi tu. Nadhani lengo liwe wawakilshi zaidi katika ngazi za mitaa, vitongoji, kata, majimbo, nk. then mle mjengoni kuwe na wabunge wa upinzani kama 150 hivi. I can surely tell you, nadhani hata CDM wenyewe wanajua, ni bora waongeze kundi kubwa la wabunge na wawakilishi wengine katika ngazi zote kuliko kuwahi ikulu wakiwa na wabunge 49.
Wewe nani? Zomba? Tunajua Mungu si Zomba!
Hata mimi naamini Mungu mmoja na naamini Mungu hawezi fanya makosa ya kuwapa uongozi wa nchi watu wasio na maadili.
Wala! Kuna miungu kibao. Kuna wanaoamini jua ni mungu wao, wengine ng'ombe, mito ya maji, milima, moto nakadhalika. Ukiamini Mungu mmoja hiyo ni imani yako, endelea. Tungezungumzia maadili FISI WENU wala mungu wao asingewahesabu kutawala nchi hii achilia mbali uongozi ambao haupo kwa FISI WENU. Ninachojua Mungu si Zomba. Labda awe jogoo, lakini naye awike asiwike kutakucha tu!
Mimi nasema hawataingia Ikulu, si 2015 si 2020.
Hata mimi naamini Mungu mmoja na naamini Mungu hawezi fanya makosa ya kuwapa uongozi wa nchi watu wasio na maadili.
I'm sure when 2015 Chadema take over, kuna watu kama zomba watabadili id zao!
Mkuu, ukubali usikubali CDM kina mvuto kwa Watanzania.
Angalia Morogoro hapo: ambapo bado CDM haina mbunge. Ambayo ni moja ya ngome za CCM!
Kuna aliyekuwa na mvuto zaidi Mrema? katika siasa za vyama vingi? fikiri!
Kuna aliyekuwa na mvuto zaidi Mrema? katika siasa za vyama vingi? fikiri!
Ok. Mrema alikuwa na mvuto kama mtu binafsi, huu ni mvuto wa Chama.
Kwa wana CCM kupuuzia mvuto huu wa Chadema si kwa hasara ya Chadema! Ni kwa faida ya Chadema.
Kumbuka hawa watu wa Morogoro tangu mpango wa vyama vingi wamekuwa wakereketwa wa CCM. Mara inatokea kwa maelfu wanajiunga na CDM, bila kupewa kanga wala kofia wala wali bali kwa kuvutiwa na chama.
Wanakuja mikutanoni kwa usafiri wao na si kwa kuletwa na malori, na zaidi wanachangia chama badala ya kupewa pesa na chama.
Fikiri!