CHADEMA yaendeleza Mapambano , viongozi waanza ziara nchi nzima

Hii ndio kazi mpya kuanzia muda huu

John Mnyika yupo kanda ya Pwani

View attachment 1983218

Kigaila yuko Karatu .

View attachment 1983219

Ni mikutano ya ndani kwa ndani ambayo yanayoongelewa ni vigumu kuyajua na imesambaa nchi nzima mithili ya nzige kwenye shamba la mahindi .

Tuendelee kubaki hapa hapa Jf kwa Taarifa za Uhakika .
CCM na Polisi wao ndio watajua kuwa hawajui
 
CHADEMA kwisha habari yenu mshapoteza ushawishi, nendeni hapo Zambia mkapate shule ya nini upinzani unatakiwa kuwa, sio upinzani wenu huu rojorojo sasa hivi mmemtelekeza mwenyekiti mahabusu halafu mnakuja na vikao vyenu uchwara.

Kwa ufupi mmepoteza dira na mnatia huruma sana
 
Kauli zako hazina UTU!
 
Hii ndio kazi mpya kuanzia muda huu

John Mnyika yupo kanda ya Pwani

View attachment 1983218

Kigaila yuko Karatu .

View attachment 1983219

Ni mikutano ya ndani kwa ndani ambayo yanayoongelewa ni vigumu kuyajua na imesambaa nchi nzima mithili ya nzige kwenye shamba la mahindi .

Tuendelee kubaki hapa hapa Jf kwa Taarifa za Uhakika .

Mapambano zidi ya mkoroni mweusi hayata koma
 
Hii ndio kazi mpya kuanzia muda huu

John Mnyika yupo kanda ya Pwani

View attachment 1983218

Kigaila yuko Karatu .

View attachment 1983219

Ni mikutano ya ndani kwa ndani ambayo yanayoongelewa ni vigumu kuyajua na imesambaa nchi nzima mithili ya nzige kwenye shamba la mahindi .

Tuendelee kubaki hapa hapa Jf kwa Taarifa za Uhakika .
Hahaha...kumbe haizuiwi kama ambavyo mmekuwa mkiaminisha watu enh? hayo mapambano ni ya nini? kuna vita?
 
UTU gani unaozungumzia hapa? Hamna dira mmehangaika kwa zaidi ya miongo miwili na mlikuwa katika nafasi nzuri ila mmeshindwa kabisa kuitikisa CCM kubalini mwendo mmeumaliza tayari.
Jana sio leo, jikite kuitetea haki inayoporwa na jiepushe kuabudu mwanadamu na viongozi hapa duniani. Muda utaongea!
 
COVID 19 Wana baraka zote za uongozi wa juu, kumbuka hata mke wa John Mrema yupo humo! Zitapigwa danadana mpaka 2025 hakuna kitafanyika juu yao, kauli za kisiasa zinazotolewa na viongozi ni unafiki na kuwazuga tu wanachama
Kwa manufaa ya jf na wengine unaweza kutaja hilo jina la Mke wa John Mrema aliye kwenye kambi ya Covid 19 ?
 
Hii ndio kazi mpya kuanzia muda huu

John Mnyika yupo kanda ya Pwani

View attachment 1983218

Kigaila yuko Karatu .

View attachment 1983219

Ni mikutano ya ndani kwa ndani ambayo yanayoongelewa ni vigumu kuyajua na imesambaa nchi nzima mithili ya nzige kwenye shamba la mahindi .

Tuendelee kubaki hapa hapa Jf kwa Taarifa za Uhakika .
stylin.gif
stylin.gif
stylin.gif

Chadema DAIMA.
 
Back
Top Bottom