CHADEMA yaendelea kuigalagaza CCM ktk chaguzi ndogo jimbo la Buchosa - Sengerema

Ndiyo Wakuu, heshima kwenu.

Katika kutimilika kwa kauli ya "SIKU MJINGA AKIJITAMBUA ,MWELEVU UPO MATATANI " Kwa mara nyingine tena ccm yaendelea kukalia kuti kavu baada ya kugalagazwa leo jioni kwenye chaguzi mbili za serikali za vijiji vya Kalebezo na Magurukemba jimboni Buchosa, kwa Naibu Waziri wa uchukuzi, Dr Tizeba.

Ngoja Nape na Wasira waendelee kubwabwaja huku vijini ccm haipo i.e ilisha kufa kitambo bado kuzikwa tu 2015. Hivi kwa murejesho huu bado mtaji wa ccm vijijini upo? Takwimu ntaweka baadae wakubwa.

M4C MWANZO MWISHO.

Aksante kwa taarifa Kamanda ila hapo kwenye red kijiji kinaitwa MAGURUKENDA.

Nimefarijika kwa ushindi huo mkubwa.
 
Katika uchaguzi mdogo uliofanyika jana kuchagua wenyeviti wa serikali za vijiji vya Kalebezo na Magurugenda, kata ya Kalebezo, jimbo la Buchosa,chama cha Demokrasia na Maendele (CHADEMA) kimekichakaza vibaya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa kutwaa vijiji vyote viwili ambavyo awali vilikuwa vikishikliwa na CCM.

Katika kujiji cha Magurukenda mgombea wa CHADEMA bwana William Sweke alimshinda mgombea wa CCM kwa kupata kura 277 dhidi ya 259 za mpinzani wake. Na katika kijiji kikubwa na maarufu cha Kalebezo, mgombea wa CHADEMA bwana Paulo Shagembe alimbwaga vibaya mpinzani wake kwa kuapata kura 670 dhidi ya 533. Huu ni ushindi wa tatu mfululizi kwa CHADEMA katika chaguzi ndogo nne za vijiji zilizokwisha fanyika mpaka sasa.

Katika uchaguzi mwingine mdogo uliofanyika mwezi April mwaka huu katika kijiji cha Mwabasabi kata ya Nyehunge, CHADEMA waliibuka washindi pia kwa kutwaa kijiji kilichokuwa mikononi mwa CCM. Wimbi hili la ushindi kwa CHADEMA ni mwendelezo wa kimbunga cha mabadiliko makubwa ya kisiasa yanayozidi kushika kasi katika jimbo la Buchosa.

Mabadiliko haya yalioanza tangu uchaguzi mkuu wa mwaka 2010 ambapo mgombea ubunge wa Chadema alishindwa kwa mazingira ya kutatanisha, yameanza kulikumba pia jimbo la Sengerema hasa baada ya kujiuzulu kwa aliyekuwa diwani wa kata ya Nyampurukano na kujindoa kabisa ndani ya CCM na kujiunga CHADEMA mapema mwaka huu. Hongera wana Kalebezo na Magurukenda, hongerea
wana Buchosa!

Chanzo: Ikwalala
[/QUOT

Hongereni sana. Halafu hiyo nadhani ni siku moja baada ya kubeba watu kama mizigo kwenye mabasi kuelekea pale Jangwani. Jamani!
 
HAPO CCM MATUMBO MOTOOOOOPiiiiiiiiiiipppppppppppppppppppppppppoooooooooooooooooooooooooooooooozzzzzzzzzzzzzzzzz!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Katika uchaguzi mdogo uliofanyika jana kuchagua wenyeviti wa serikali za vijiji vya Kalebezo na Magurugenda, kata ya Kalebezo, jimbo la Buchosa,chama cha Demokrasia na Maendele (CHADEMA) kimekichakaza vibaya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa kutwaa vijiji vyote viwili ambavyo awali vilikuwa vikishikliwa na CCM.

Katika kujiji cha Magurukenda mgombea wa CHADEMA bwana William Sweke alimshinda mgombea wa CCM kwa kupata kura 277 dhidi ya 259 za mpinzani wake. Na katika kijiji kikubwa na maarufu cha Kalebezo, mgombea wa CHADEMA bwana Paulo Shagembe alimbwaga vibaya mpinzani wake kwa kuapata kura 670 dhidi ya 533. Huu ni ushindi wa tatu mfululizi kwa CHADEMA katika chaguzi ndogo nne za vijiji zilizokwisha fanyika mpaka sasa.

Katika uchaguzi mwingine mdogo uliofanyika mwezi April mwaka huu katika kijiji cha Mwabasabi kata ya Nyehunge, CHADEMA waliibuka washindi pia kwa kutwaa kijiji kilichokuwa mikononi mwa CCM. Wimbi hili la ushindi kwa CHADEMA ni mwendelezo wa kimbunga cha mabadiliko makubwa ya kisiasa yanayozidi kushika kasi katika jimbo la Buchosa.

Mabadiliko haya yalioanza tangu uchaguzi mkuu wa mwaka 2010 ambapo mgombea ubunge wa Chadema alishindwa kwa mazingira ya kutatanisha, yameanza kulikumba pia jimbo la Sengerema hasa baada ya kujiuzulu kwa aliyekuwa diwani wa kata ya Nyampurukano na kujindoa kabisa ndani ya CCM na kujiunga CHADEMA mapema mwaka huu. Hongera wana Kalebezo na Magurukenda, hongerea
wana Buchosa!

Chanzo: Ikwalala

wapi Nape.

tunangoja spin zako, au potezea tu.

meseji sent.

abhasuguma dudashogaga numa.

mshatutibua ndo mjuwe ndo basi tena.
 
Hizi ni taarifa ninazopenda kuzisikia hususan siku ya leo, J3 tulivuuuuuuu. Piiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiipppppoooooooooooooooooooooooooooooozzzzzzzzzzzzzzzzzzzz! Long live CDM, long live Buchosa. Viva M4C
 
Tru, nimeshindwa kuamini kuna kijiji kimoja kipo mbinga ( mwisho wa barabara) kinaitwa kingole. Ni kijiji ambacho niliamini ni mtaji wa ccm kwani bado watu wake hawamaliza stage ya ujima. Wiki iliyopita alitembelea mshua wangu anaitwa a.k.a Mzee Zito. Sikuamini kusikia wameasi kijiji kizima wapo chadema. NiLIMUULIZA wanapataje uhamasishaji kwani mf gari huenda mara 1 kwa mwezi.simu hakuna, redio ni TBC tu. Wakasema hukusanyika kwa jamaa mmoja ambaye ana jenereta, TV, na dish kuangalia Taarifa za habari ITV,TEN, NK.

Kwa kweli wamehamasika

Habari hii lazima niifuatilie kwani siwezi kuamini hivi hivi. Naamini hiki kijiji kama ulivyosema ni radical sana. Kama leo wameng'amua basi mageuzi yapo. Kijiji changu hiki japo sijaenda muda mrefu. Huyo mwenye jenereta na tv na dish namfahamu sana mwalimu mkuu. Gari hapa watu likipita zamani tulikuwa tunafunika matairi yasifutike ili tuendelee kuona mana kina mchanga mwingi kijiji hicho. Nawatafuta wahusika.
 
Ndiyo Wakuu, heshima kwenu.

Katika kutimilika kwa kauli ya "SIKU MJINGA AKIJITAMBUA ,MWELEVU UPO MATATANI " Kwa mara nyingine tena ccm yaendelea kukalia kuti kavu baada ya kugalagazwa leo jioni kwenye chaguzi mbili za serikali za vijiji vya Kalebezo na Magurukemba jimboni Buchosa, kwa Naibu Waziri wa uchukuzi, Dr Tizeba.

Ngoja Nape na Wasira waendelee kubwabwaja huku vijini ccm haipo i.e ilisha kufa kitambo bado kuzikwa tu 2015. Hivi kwa murejesho huu bado mtaji wa ccm vijijini upo? Takwimu ntaweka baadae wakubwa.

M4C MWANZO MWISHO.

Mie sishangai kwa waziri maana hata makazi ya Rais huku Obay yako chini ya Chadema maana mwenye sauti huko ni shoka tupu Halima Mdee .Kazi ni kwao CCM sasa
 
Ndiyo Wakuu, heshima
kwenu.

Katika kutimilika kwa kauli ya "SIKU MJINGA AKIJITAMBUA ,MWELEVU UPO
MATATANI " Kwa mara nyingine tena ccm yaendelea kukalia kuti kavu baada
ya kugalagazwa leo jioni kwenye chaguzi mbili za serikali za vijiji
vya Kalebezo na Magurukemba jimboni Buchosa, kwa Naibu Waziri wa
uchukuzi, Dr Tizeba.

Ngoja Nape na Wasira waendelee kubwabwaja huku vijini ccm haipo i.e
ilisha kufa kitambo bado kuzikwa tu 2015. Hivi kwa murejesho huu bado
mtaji wa ccm vijijini upo? Takwimu ntaweka baadae wakubwa.

M4C MWANZO MWISHO.

Safi sana.
 
Back
Top Bottom