CHADEMA yadai uchaguzi ufutwe, kuwe na tume huru na marufuku kutumia nembo ya CHADEMA. Kwa tume iliyopo hakuna jipya imejaa magigisi

Wakiweza kulipigania hilo la tume hadi wapate iliyohuru na katiba mpya basi wamefanikiwa kile wanachokitaka tangu 1995
 
Walipompokea lowasa tu,baaaasi ,stakuja kuipenda cdm hata kwa kupewa mtoto malkia nimuoe,UKISHANAJISIKA WW UMEKUWA NAJISI,GHARAMA YA KUUTOA UNAJISI NI KUBWA SANA
 
Hawa nao siasa zimewashinda sasa..wanataka kubrmbelezwa kama watoto

Ndio kauli unayotoa?

Kauli ya kinafiki kabisa!

Wagombea 98% wamefutwa makusudi,halafu wewe unasema “siasa zimewashinda”!

Kwahiyo hiyo asilimia 2% ndio wabaki wapigiwe kura?

Punguza unafiki
 
Chadema wametegwa na wametegeka. Lengo sio ulazima wa chadema kushiriki, lengo ni kupata wagombea halali kutoka vyama vingine. Baba Jane bai bai! Uchaguzi unafanyika na huu ndio mwisho wa chadema. "Chaliii.. kifo Cha Mende,!
 
Kumbe hakukuwa na namna ha hapa zito na sipunda (ACT WAZALENDO na CHAUMA ) wameingia cha kike wenzao wamefulia hawana hata pesa za kujaza mafuta Magari


Ruzuku zote zimeliwa na hata michango ya wabunge na wanachama haijulikani ,baadhi ya wabunge walitaka ijibiwe mbowe akasema wasubiri

Uchaguzi wa ndani imegubikwa na njaa kali kesho ndio deadlock bado hakuna hata viashiria vya kufanyika uchaguzi

Hili la kuwarudisha uringoni ni hatari maana zile ruzuku za kampaini za serkali za mitaa zimeliwa yale mafusu hayana hata tire na hilux zimefulia mafuta

Hawataweza kufanya kampain yoyote maana wako hovyo mfukoni


State agent
Hivi ni kweli ninyi ni wajinga kiasi hiki au mnaigiza tu?
 
Mwenyekiti wa BAVICHA Ole Sosopi amesema CHADEMA hawana imani na waziri wa TAMISEMI pamoja na wasimamizi wa uchaguzi.

Ole Sosopi ambaye alikuwa akihojiwa na mtangazaji Ernest Nyanda wa kipindi cha Tuongee Asubuhi Star TV amesisitiza Chadema kutorudi kwenye uchaguzi hadi mh Jaffo atakapojiuzulu na vyama vya siasa kukaa mezani na serikali kujadili mustakabali mzima wa uchaguzi.

Source: Star TV

My take: Tatizo ni Jaffo au mfumo wa uchaguzi?. Chadema ni vyema mukaangalia mulipojikwaa kuliko mulipoangukia.

Maendeleo hayana vyama
 
Kwa kiswahili tunasema ukiona umeacha kitu na bado unakizungumzia ujue bado unakihitaji kuliko chenyewe kinavyo kuhitaji.
Hapo chadema anazungumzia kujiuzuru kwa jafo wakati wanasema magufuli aliwambia watendaji cha kufanya

Kwanini wazunguke mbuyu?
 
Hakuna kurudi uwanjani endapo

1. Watendaji walewale

2. Sheria zilezile

3. Mazingira yaleyale

Maana yake watajitangaza tu kiholela kama walivufuta wenzao kiholela

Ilikurudi uwanjani

1. Tume huru ya uchaguzi

2. Siasa ziruhusiwe majukwaani

3. Katiba ya jaji warioba

Wasalaam
 
What a summary of the key issues?
Hakuna kurudi uwanjani endapo

1. Watendaji walewale

2. Sheria zilezile

3. Mazingira yaleyale

Maana yake watajitangaza tu kiholela kama walivufuta wenzao kiholela

Ilikurudi uwanjani

1. Tume huru ya uchaguzi

2. Siasa ziruhusiwe majukwaani

3. Katiba ya jaji warioba

Wasalaam
 
Kikibwa kuwe na tume huru ya uchaguzi haiwezekani Yanga icheze na Simba halafu mwamuzi wa kati awe yahaya akili mali, hivi kwa mazingira hayo Simba itashindaje mechi hiyo?
 
Akijiuzulu mbowe ndio na wengine watafuata. Viongozi walamba viatu vya mbowe hawatakiwi kuongoza hata kundi la siafu.
 
Back
Top Bottom