Chadema yabomoa ngome ya CCM chuo kikuu cha ushirika Moshi.

Malata Junior

JF-Expert Member
Nov 29, 2011
3,102
2,538
Kwa miaka mingi serikali ya wanafunzi wa chuo kikuu cha ushirika Moshi imekuwa ikiongozwa na CCM miaka na miaka kabla hata ya kina Bashite lakini katika uchaguzi uliofanyika majuzi makamanda wa chadema walitwaa uongozi katika nafasi za urais,makamu wa rais, waziri mkuu na spika wa bunge.Pongezi na shukurani ziwaendee tawi la chaso chuoni hapo,Bavicha manispaa ya Moshi na mkoa wa Kilimanjaro kwa kufanikisha ushindi huo.
 
Baada ya magufuri kuwanyima mkopo watoto wa masikini ninakuhakikishia hakuna chuo kitakacho ongozwa na rais mwenye element za kisisiemu... Labda aingilie kwa mgongo wa upinzani baadae abadilike...
 
Kwa miaka mingi serikali ya wanafunzi wa chuo kikuu cha ushirika Moshi imekuwa ikiongozwa na CCM miaka na miaka kabla hata ya kina Bashite lakini katika uchaguzi uliofanyika majuzi makamanda wa chadema walitwaa uongozi katika nafasi za urais,makamu wa rais, waziri mkuu na spika wa bunge.Pongezi na shukurani ziwaendee tawi la chaso chuoni hapo,Bavicha manispaa ya Moshi na mkoa wa Kilimanjaro kwa kufanikisha ushindi huo.
Mbona hututajii majina basi.....nyani; ngedere; tumbili; kima; sikwemtu; walewale......
 
hapo najua wazee wa old boys bashes ushirika stadium watahusika sana nzi wa kijani walikua wanaziba sana
 
Kwa miaka mingi serikali ya wanafunzi wa chuo kikuu cha ushirika Moshi imekuwa ikiongozwa na CCM miaka na miaka kabla hata ya kina Bashite lakini katika uchaguzi uliofanyika majuzi makamanda wa chadema walitwaa uongozi katika nafasi za urais,makamu wa rais, waziri mkuu na spika wa bunge.Pongezi na shukurani ziwaendee tawi la chaso chuoni hapo,Bavicha manispaa ya Moshi na mkoa wa Kilimanjaro kwa kufanikisha ushindi huo.
(V)_scaled_45.png
 
Back
Top Bottom