Malata Junior
JF-Expert Member
- Nov 29, 2011
- 3,102
- 2,540
Kwa miaka mingi serikali ya wanafunzi wa chuo kikuu cha ushirika Moshi imekuwa ikiongozwa na CCM miaka na miaka kabla hata ya kina Bashite lakini katika uchaguzi uliofanyika majuzi makamanda wa chadema walitwaa uongozi katika nafasi za urais,makamu wa rais, waziri mkuu na spika wa bunge.Pongezi na shukurani ziwaendee tawi la chaso chuoni hapo,Bavicha manispaa ya Moshi na mkoa wa Kilimanjaro kwa kufanikisha ushindi huo.