CHADEMA yaanza kujipanga zanzibar?

Kitila na wengine, kidogo ningependa kutofautiana na nyie(ndio Demokrasia yenyewe). Naona ni jambo jema kwa CUF kushirikiana na CUF na sio kujiimarisha Zanzibar na kui-weaken CUF visiwani kwa advantage ya CCM. Political Mathematics zinaonesha kuwa chama cha tatu hakiwezi kushinda Zanzibar hata kidogo, labda kiwe na lengo la kutaka kuteam up na chama kingine kama ilivyo ODM-Kenya.
Mimi naona hii ni kama excuse ya Chadema kukimbia kazi ngumu iliyoko bara. Uwanja sasa mmepewa, CCM ndio inaoza imejichimbia kaburi, what are you doing now? Kuna mikakati gani ya kukamata bunge ambalo ni moja ya center ya mapambano? I real do not see it, and sometimes i get really mad. Naona kama uzembe wenu ndio unawafanya mafisadi waendelee kutamba, you need to mount a considerable pressure in mainland, get more parliamentary seats in 2010.
Tanzania iko tayari kwa Chadema lakini Chadema inaonekana kama inasita kuwa Tayari kwa Tanzania....just opinion!
 
ushauri kwa chadema, wangejipanga ziadi unguja vijijini ambako ccm haikubaliki lakini na cuf haikubaliki (kiukabila labda), hivyo ingekuwa rahisi kuitoa ccm madarakani, japo kuwa katika hali ya kawaida bila ya wizi wa dhahiri na mabavu, ccm ilikuwa haipo zamani kule visiwani
 
Kitila na wengine, kidogo ningependa kutofautiana na nyie(ndio Demokrasia yenyewe). Naona ni jambo jema kwa CUF kushirikiana na CUF na sio kujiimarisha Zanzibar na kui-weaken CUF visiwani kwa advantage ya CCM. Political Mathematics zinaonesha kuwa chama cha tatu hakiwezi kushinda Zanzibar hata kidogo, labda kiwe na lengo la kutaka kuteam up na chama kingine kama ilivyo ODM-Kenya.
Mimi naona hii ni kama excuse ya Chadema kukimbia kazi ngumu iliyoko bara. Uwanja sasa mmepewa, CCM ndio inaoza imejichimbia kaburi, what are you doing now? Kuna mikakati gani ya kukamata bunge ambalo ni moja ya center ya mapambano? I real do not see it, and sometimes i get really mad. Naona kama uzembe wenu ndio unawafanya mafisadi waendelee kutamba, you need to mount a considerable pressure in mainland, get more parliamentary seats in 2010.
Tanzania iko tayari kwa Chadema lakini Chadema inaonekana kama inasita kuwa Tayari kwa Tanzania....just opinion!

CUF strong hold yao ni pemba. Unguja wako mji mkongwe pekee. Mi nawashauri CHADEMA wawamalize CCM katika maeneo mengine yaliyobaki ya unguja ili Zanzibar itawaliwe na mseto kati ya CUF na CHADEMA maana CCM wamekataa mseto

Asha
 
Bongo lander

Mbona mikakati kama hii CHADEMA wanaifanya maeneo mbalimbali nchini? au husomi vyombo vya habari? Kazi kwako kuhakikisha wanafika kijijini kwako

Asha hata kijijini kwangu ni Tanzania bara pia. Naona kazi inafanyika lakini there is still enough room for the improvement, there is a lot more that can be done
 
mi nasapoti chadema kwenda zanzibar na kujiimarisha, kwa sababu hao CUF ni mapandikizi tu wa CCM, so bora waende hawa ambao wana element za upinzani ili wapeleke upinzani wa kweli kuliko hao kina maalim.
 
Mpambano unaendelea na huu ni mwanzo tuu kuwa CHADEMA ni watu wa makakati zaidi ya kupayuka tuuu....Hamad karibu hapa jamvini na tuendeleze mpambano huu kwa nguvu ya hoja.
 
Bongolander: Tunapambana kweli lakini ni wazi hatujakidhi kiu ya wana mabadiliko. Tutajitahidi zaidi kukidhi kiu ya wapenda mabadiliko kama wewe na wengine. With your support, and that of other millions of Tanzanians who are rightly fed up with CCM, it should be possible!
 
CUF strong hold yao ni pemba. Unguja wako mji mkongwe pekee. Mi nawashauri CHADEMA wawamalize CCM katika maeneo mengine yaliyobaki ya unguja ili Zanzibar itawaliwe na mseto kati ya CUF na CHADEMA maana CCM wamekataa mseto

Asha

Zanzibar inahitaji "alternative political forces" sasa. CHADEMA kweli kina nafasi huko kama kitajizatiti. Lakini ushauri wako unaowapa haufai, kwani Wasichokitaka Unguja -yote (isipokuwa Mji Mkongwe) ni CUF-tena wana sababu zao na wala sio ukabila au Upemba na Uunguja. Hivyo CHADEMA wakienda huko ,na hadhithi za kufanya mseto na CUF . Wajue hawataambulia kitu. Watu wataona ya kheri kubaki na CCM yao kuliko kukumbatia ushirika na CUF.
 
Mapambano zaidi yanaitajika, vyama vya upinzani inabidi viangalie stronghold zake na kuachiana nafasi, vijikite zaidi maeneo ambayo CCM inashinda sana. Wananchi wameshaichoka CCM wanaitaji watu wa kuwasaidia kuiondoa madarakani. Huko vijijini mjumbe wa CCM ni kama mungu mtu na ndo maana CCM wanashinda watu wanatishwa wasichague vyama vya upinzani.
 
kama unataka ushinde hayo mapambano ndugu yangu mi nakushauri usimshirikishe huyo hamad, utakuja kulia siku ya mwisho mwenzio anapanda ndege kwenda kupumzika uingereza we anakuacha unapigwa virungu na FFU.
 
Nafikiri huu sio mkakati mbaya kwa CHADEMA, lakini inabidi kuwa makini kwani inaweza kuleta umomokaji wa CUF. Hata hivyo kama mikakati ikipangwa vema inaweza pia ikawa msaada kwa CUF kama CHADEMA wakienda kujitangaza zaidi kwenye maendeo ya CCM, na kuweza kuwavuna wanaCCM na hivyo kupunguza nguvu za CCM.

Lakini hili linahitajika kuchunguzwa maana kwa Unguja siasa zake ni za kiutambulishi, na inaweza ikawa rahisi kwa mwana CUF kuhamia CHADEMA kuliko mwanaCCM kutokana na jinsi wanavyofaidika au kutofaidika na uongozi wa hivi sasa.

Suala lingine ni lile la vyama kuungana. Nafikriri kama CHADEMA watafanikiwa kuwarubuni wana CCM huko unguaja, basi kuungana kwao huko kunaweza kusihitajike. Lakini hii italeta utata kwa TZ bara kwani njia pekee ya wapinzani kushinda ni kwa wao kuanzia hivi sasa kuwa na muungano imara dhidi ya CCM.

Lolote litakalokuwa ni muhimu kwa CHADEMA kuwa makini kutovuruga nguvu ya upinzani iliyoko visiwani.

_________________________
 
Back
Top Bottom