#COVID19 CHADEMA yaahidi kuchukua tahadhari zote dhidi ya Corona katika Kongamano la Katiba kama ilivyoainishwa na Wizara ya Afya!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,616
141,441
Chadema wamesema Kongamano la katiba siyo miongoni mwa mikusanyiko inayohitaji kuombewa kibali kwa mujibu wa sheria

Chadema wamesema watachukua tahadhari zote dhidi ya Corona katika kongamano la katiba hapo kesho kama ilivyoelekezwa na wizara ya afya

Nawasalimu kwa jina la JMT!
 
Pia litarushwa LIVE

Kongamano_la_Katiba_Mpya_Mkoani_Mwanza_litakuwa_LIVE_youtube_Chadema_Media_na_Facebook_Chadema...jpg
 
Chadema wamesema Kongamano la katiba siyo miongoni mwa mikusanyiko inayohitaji kuombewa kibali kwa mujibu wa sheria

Chadema wamesema watachukua tahadhari zote dhidi ya Corona katika kongamano la katiba hapo kesho kama ilivyoelekezwa na wizara ya afya

Nawasalimu kwa jina la JMT!
CCM Jana Dodoma

IMG-20210720-WA0115.jpg

IMG-20210720-WA0116.jpg
 
Back
Top Bottom