"CHADEMA" ya Zambia yachukua Nchi rasmi: Hii ndio Speech

sidhani kama watafanya lolote kwa watanzania,kwa taarifa yako wazambia wanawaheshimu sana watanzania,nimeishi pale naelewa,ugomvi wao ni wachina,walebanon,na wahindi,kuhusu wazungu hasa kutoka south africa wanakubalika sana
wazambia kwa ujumla ni wavivu kuliko wabongo, na sidhani kama kuwafukuza wahindi na wachina ndio kutainua uchumi wa wazalendo, likewise to wabongo. ngoja tusubiri na kuona utekelezaji, maaana kuahidi ni kwingine na kutekeleza ni jambo lingine.
hata hivyo, Hongera upinzani kwa ushindi.
 
Its not really a priority for him ....!!! He should start adressing other issues hii timua timua will please some but its not the root cause ....

Upinzani unapoingia kuna a lot of 'cheap' and 'serious' decisions to be made, its time to tread carefully one wrong move will earn him negative reviews

I do not think he will care about the negative reviews!
If that will be a solution for a serious problem of his country like TZ, becoming a dumping pit for substandard goods, I support him!
 
Mlengo wa kati, sijakuelewa hata moja la maana ulilosema, kwa bahati mbaya mimi si mtu wa malumbano ya kijinga, pls tafuta mtu wa kulumbana nae, not me! Nimeweka hoja jamvini sio kwajili ya kulumbana na mimi, sina shida ya kuifahamu MMD pls, thanks for respect!
 
Mlengo wa kati, sijakuelewa hata moja la maana ulilosema, kwa bahati mbaya mimi si mtu wa malumbano ya kijinga, pls tafuta mtu wa kulumbana nae, not me! Nimeweka hoja jamvini sio kwajili ya kulumbana na mimi, sina shida ya kuifahamu MMD pls, thanks for respect! Kama uko kazini, mimi silipwi nafanya for personal interest na bytheway mimi si mshabiki wa chama chochote chenye maslahi ya type yako, am here kwajili ya future yetu sote, ni hilo tu! Hope utakua umenielewa! Kutajwa CDM tu ndio unaskia kichefuchefu
 
Duh! Sikutarajia hotuba nzuri namna hii kutoka kwa rais aliyeshindwa..... Hii anastahili heshima ya kuwa baba wa zambia, ikiwezekana afrika nzima maana watu wenye busara kama hizi hawapo tena africa
 
Jamani wahariri wa magazeti ya tanzania tunaomba muiweke hotuba hiii iwe mfano
 
wazambia kwa ujumla ni wavivu kuliko wabongo, na sidhani kama kuwafukuza wahindi na wachina ndio kutainua uchumi wa wazalendo, likewise to wabongo. ngoja tusubiri na kuona utekelezaji, maaana kuahidi ni kwingine na kutekeleza ni jambo lingine.
hata hivyo, Hongera upinzani kwa ushindi.

Hapo kwenye red; totaly disagree! Mabadiliko makubwa ya kisiasa yaliyofanyika Zambia kwa miongo miwili - kwanza kukiondoa madarakani chama tawala cha wakati huo (UNIP) na kuingiza madarakani chama cha upinzani (MMD) na hatimaye juzi kuiondoa madarakani MMD na kuweka chama kingine (cha Bw. Sata) na jinsi mchakato mzima ulivyokwenda hadi Rais anayemaliza muda wake kutoa statement ya kukubali kushindwa na kumtakia Rais Mteule na Taifa kwa ujumla mafanikio mema inaonesha aina ya watu wa Zambia. Si wavivu hata kidogo au basi angalau hawana uvivu wa kufikiri ambao ndio uvivu mbaya kuliko wote.

Huwezi kulinganisha "uvivu" wa wazambia na wavivu wa hapa bongo ambapo inafikia mahali mtu mzima na akili zake tena kiongozi katika jamii kukubali kutumiwa ili kufifisha harakati zozote zenye mwelekeo wa kulikomboa taifa.
 
I say "I think Prof. Lipumba deserve this chance than any other candidate"

Lakini ajabu wanatuleta mapdre...hakuna mtu atakubali mkuu

Leteni good candidates siyo hao wenye shule na historia za kuunga unga ...
Kwa vigezo vipi vinavyomfanya awe mstahili bora kuliko wengine, na hapo kwenye RED inaonesha jinsi ulivyojawa na fikra potofu za udini kwani mapadre sio watanzania je hawana haki za kikatiba kama raia wengine jenga hoja acha kueneza chuki
 
Hapo kwenye red; totaly disagree! Mabadiliko makubwa ya kisiasa yaliyofanyika Zambia kwa miongo miwili - kwanza kukiondoa madarakani chama tawala cha wakati huo (UNIP) na kuingiza madarakani chama cha upinzani (MMD) na hatimaye juzi kuiondoa madarakani MMD na kuweka chama kingine (cha Bw. Sata) na jinsi mchakato mzima ulivyokwenda hadi Rais anayemaliza muda wake kutoa statement ya kukubali kushindwa na kumtakia Rais Mteule na Taifa kwa ujumla mafanikio mema inaonesha aina ya watu wa Zambia. Si wavivu hata kidogo au basi angalau hawana uvivu wa kufikiri ambao ndio uvivu mbaya kuliko wote.

Huwezi kulinganisha "uvivu" wa wazambia na wavivu wa hapa bongo ambapo inafikia mahali mtu mzima na akili zake tena kiongozi katika jamii kukubali kutumiwa ili kufifisha harakati zozote zenye mwelekeo wa kulikomboa taifa.

Ahsante sana mkuu umemaliza kila kitu.

Wabongo ndio wavivu kupindukia na tunahitaji kujifunza kutoka kwa wazambia. Reli ya tazara na tazama pipeline ni uthibitisho wa jinsi wazambia walivyotuzidi ujanja.
 
  • Thanks
Reactions: Nzi
I say "I think Prof. Lipumba deserve this chance than any other candidate"

Lakini ajabu wanatuleta mapdre...hakuna mtu atakubali mkuu

Leteni good candidates siyo hao wenye shule na historia za kuunga unga ...

Wewe nadhani ni walewale wanaokujaga JF kuchafua hali ya hewa. haya bwana umefanikiwa kuchafua hali ya hewa jioni ya leo. Hongera.

Naja kwenye hoja yako. Uzuri wa candidate wewe mwenzetu unaupima kwa vigezo gani???Dini, Elimu au Kabila???Kama Lipumba anadeserve hiyo chance we wadhani kwanini anakosa mara kadhaa sasa??? Nadhani pia wewe hujaingia siku nyingi kwenye siasa au huna kumbukumbu. Lipumba alianza kuingia kwenye kinyang'anyiro cha urais kabla hata ya kushindanishwa na huyo unayemuita Padre. Lakin alikosa so ni kwamba hakubaliki tu, nadhani ni karibu mara 4 Prof Lipumba anagombea bila mafanikio na naona hataki kukubali ukweli kama ulivyo wewe kijana wake. mshauri aache kugombea hiyo chance ajaribu udiwani au ubunge kwanza. usikute hata udiwani na ubunge hatopata.
 
Its not really a priority for him ....!!! He should start adressing other issues hii timua timua will please some but its not the root cause ....

Upinzani unapoingia kuna a lot of 'cheap' and 'serious' decisions to be made, its time to tread carefully one wrong move will earn him negative reviews

Kuwatimua wamachinga wa kichina na kihindi ni uamuzi mzuri kwa maslahi ya wazambia. Wamachinga hao ndio wanachangia pakubwa kuingiza nchini bidhaa feki.

Negative reviewers hawawezi kukosekana hata kama atawaacha hao wamachinga wa kichina. Songa mbele king cobra.
 
I say "I think Prof. Lipumba deserve this chance than any other candidate"

Lakini ajabu wanatuleta mapdre...hakuna mtu atakubali mkuu

Leteni good candidates siyo hao wenye shule na historia za kuunga unga ...

Kwa udini huu ni kwa kuwa sina mamlaka ila watu kama wewe ningewachinjilia mbali na nisiwajibike kwa yeyote. We ni mpuuzi sana a great thinker shouldn't think that way. We jiondoe tu hapa sio mahala pako nenda vijiwen ukatoe hizo mada sio humu jf. Go and lean how to think.
 
I say "I think Prof. Lipumba deserve this chance than any other candidate"

Lakini ajabu wanatuleta mapdre...hakuna mtu atakubali mkuu

Leteni good candidates siyo hao wenye shule na historia za kuunga unga ...

Ebwanaee.... Ulipoongea sentensi ya kwanza, "kiingretha" nikajua kuna mtu ana hoja hapa, sentensi yako ya pili ikanistua, kha kumbe kichwani mtu huyu kaoza kiasi hiki, sentensi yako ya tatu haieleweki.. Usikasirike sana.. Mimi kila anayeleta Ubaguzi wa kimtazamo wa dini humu JF nammwagia sumu moja kwa moja.. msitukanishe dini, tuonekane wote wapuuzi, tuonekane wote tunatumia pampas.. mjingamjinga tu.. Mods ondoeni watu hawa JF
 
Chadema mmeanza lini Udugu na Chama cha Michael Satta? Tutasikia mengi mara Chadema ya Lyibia.......! Umeonesha umbumbu wa kutoijua Zambia! MMD yenyewe iliwahi kumuondoa Kenneth Kaunda! Wenzetu wamebadilisha vyama na hiki ni chama cha tatu! Zambia wamekataa kabisa dini kuingilia vyama vyao vya siasa! Hapa balaa mara kanisa lina mkono wake kwa Chadema Kadinal Pengo anakua mjumbe wa Kamati kuu wa Chadema kwa kificho!mara Bakwata nayo inamaslahi na CCM! Dini ziache vyama vya siasa vifanye kazi zake!

Umbumbumbu wako ni hatari kuliko umbumbu unaouna kwa mwenzako.
 
Asante WAHANYA kwa kumjibu huyu kiumbe, sijui katokea wapi huko, yaani heri kuzaliwa na tatizo lingine kuliko walilonalo watu wa akina Mlengo wa Kati jina lenyewe linatisha! Hana nanihii kabisa mpu...zi mkubwa huyu, sisi tunazungumzia issues nyingine yeye anatuchanganyia habari!
 
Namshauri awasiliane na JK amfundshe kufanya ziara za kwenda kujtambulisha, kutatua migogoro, kupga picha na wasanii, kwenda kubembea, na kutafuta wawekezaji.
 
Speech ya mtu aliyestaarabika na kushiba hisia za walio wengi , Mtu aliyekubali kubadirika kutokana na mazingira ya nyakati na wale wanao mzunguka..!! I wish Rais Jakaya Mrisho Kikwete utaisoma speech hii kama si kuisikiliza.
 
Kama kuna watu wajinga duniani wewe no 1 sasa mambo ya udini yamekujaje yani kama ningekuwa nakufahamu ningekukata makofi unakuwa mjinga kama celina.
 
kama wanajaza majalala ya Lusaka kwa bidhaa feki acha awatimue tu. Ahadi yake ya maisha bora kwa wazambia ndani ya siku 90 si mchezo Mr Cobra!
 
Back
Top Bottom