CHADEMA ya washika wafuasi wa CCM wakiendelea na Uandikishaji Ubungo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CHADEMA ya washika wafuasi wa CCM wakiendelea na Uandikishaji Ubungo

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Henry Kilewo, May 25, 2010.

 1. Henry Kilewo

  Henry Kilewo Verified User

  #1
  May 25, 2010
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 889
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 45
  Chama cha chadema kimefanya kazi ya ziada leo hii mitaa ya mbezi baada ya kupokea taarifa kutoka kwa wasamaria wema kuhusu hujuma zinazofanywa na wafuasi wa ccm, mpaka sasa mtuhumiwa anahojiwa hapa kituo cha mbezi wenzake kumi wamekimbia baada ya kuona gari ya chadema ikiwa inaongozwa na SABURA :eyeroll2:
   
 2. Baba_Enock

  Baba_Enock JF-Expert Member

  #2
  May 25, 2010
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 6,802
  Likes Received: 163
  Trophy Points: 160

  Confused! Hebu edit taarifa halafu uipe "nyama"
   
 3. K

  Kyachakiche JF-Expert Member

  #3
  May 25, 2010
  Joined: Feb 16, 2009
  Messages: 911
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 45
  Mbona taarifa haijajitosheleza? Kazi ipi ya ziada imefanywa na kwa malengo yapi. Hujuma gani dhidi ya nani na nini? Tafadhali iboreshe iwe na mashiko!
   
 4. Henry Kilewo

  Henry Kilewo Verified User

  #4
  May 25, 2010
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 889
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 45
  ni baadhi ya watu wanao sadikika kuwa ni wafuasi wa ccm wamekutwa wakiendelea kuandikisha watu kwenye daftari la kudumu la wapiga kura mitaa ya mbezi hapa kwenye jimbo la ubungo
   
 5. K

  Kyachakiche JF-Expert Member

  #5
  May 25, 2010
  Joined: Feb 16, 2009
  Messages: 911
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 45
  Aksante mkuu kwa ufafanuzi. Tuhabarishe zaidi yanayoendelea kujiri
   
 6. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #6
  May 25, 2010
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,555
  Likes Received: 18,254
  Trophy Points: 280
  Sasa Kilewo, unatakiwa ku edit hiyo post yako ya mwanza kwa kuunganisha na taarifa hizi ili kiwe ndio kitu cha kueleweka.

  Ulipoosti mwanzo ulionekana umehamanika, CCM hawezi kuendelea na zoezi la uandikishaji, kwa sababu uandikishaji unafanywa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi, NEC.
   
 7. k

  kausha Member

  #7
  May 25, 2010
  Joined: Aug 21, 2007
  Messages: 73
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  Kama ni kweli uchaguzi 2010 wizi mtupu mheshimiwa kilavu kama kawaida yake tusubiri porojo inayoitwa taarifa kwa umma.kwa maana ya tukio lenyewe akili yangu inakataa kuamini hilo daftari wamepata wapi au feki kama ni kweli wao watakuwa sio wa kwanza USHINDI LAZIMA tayari
   
 8. m

  mageuzi1992 JF-Expert Member

  #8
  May 25, 2010
  Joined: Apr 9, 2010
  Messages: 2,512
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Hivi wewe PASCO hujui kama tume ya uchaguzi ni CCM tena si Tume huru? Hivi Ulisha sikia tume huru imeundwa labda kidogo kule Zanzibar na Si upande wa bara. Ila Kilewo hebu iboreshe ikamilike vizuri watu wa ielewe maana naamini hata PASCO hajaielewa!
  Unajua uchaguzi wa mwaka huu ni ushindi Mezani tusipoangalia. Nakumbuka Karatu mara ya Mwisho CCM walitaka kumwibia Dr Slaa. Basi wakaficha Masanduku ya Kura ya kitongoji Kimoja maarufu cha chadema ili CCM ionekane imeshinda. Wadau(Wambulu) wakastukia. Kwamba kuna masanduku yamefichwa na CCM. Unaambiwa walitoka na Mishale,pinde na mikuki wakazunguka ofisi moja ya mtendaji wa CCM wakaamuru ifunguliwe la sivyo wanachoma mtu mshale. Duh! Kufungua tu Masanduku ya kura kama 4000 hivi yalikutwa! Hiyo Ndo CCM.
   
 9. Henry Kilewo

  Henry Kilewo Verified User

  #9
  May 25, 2010
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 889
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 45
  ni kweli na kuunga mkono kamanda jamaa anahojiwa hapa mbezi kwenye kituo cha polisi nitaendelea kuwajuza yanayo endelea hapa
   
 10. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #10
  May 25, 2010
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,555
  Likes Received: 18,254
  Trophy Points: 280
  .
  Magezi, kwa vile mimini mfuatiliaji, naelewa kila game la wizi wa kura, na aliyetangaza ushindi wa Chadema kule Busanda na Biharamulo humu JF ni mimi na kilichotokea sote tunakijua.

  Kwa vile uchaguzi unaandaliwa na NEC, hivyo kuripoti facts ni muhimu hata kama hiyo NEC inafanya kazi on behalf of CCM. Sio kwamba sielewi kuwa the political playing field is not level, bali habari za kuhamanika kisiasa zinaweza kuhamasisha vurugu, kumbe hakuna kitu, kama siku ile Lipumba alipovamia bohari kuu kuzuia uteketezaji wa vitambulisho vya kupigia kura akijiaminisha vilitayarishiwa mamluki wa CCM, watu wenye hasira wangeweza vamia enea husika na kusababisha maafa.
   
 11. Regia Mtema

  Regia Mtema R I P

  #11
  May 25, 2010
  Joined: Nov 21, 2009
  Messages: 2,974
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 0
  Loo jamani kama habari hizi ni za kweli wanapaswa kuchukuliwa hatua za kisheria haraka iwezekanavyo..
   
 12. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #12
  May 25, 2010
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,555
  Likes Received: 18,254
  Trophy Points: 280
  Asante Kilewo, la muhimu report facts, usiconclude ni CCM unless wamekutwa ofisi ya CCM. Kunapotokea uhalifu, wahalifu wanakuwa ni wahalifu tuu regardles ni wafuasi wa chama gani, ikitokea mwizi wa kuku ni mwanachama wa Chadema, hatutaripoti Chadema wezi wa kuku, tutaripoti kuhusu mwizi wa kuku ambaye ni mshabiki wa Chadema, hapa nazungumzia facts, itikadi za chama weke pembeni, hii issue ni very serious!.
   
 13. Henry Kilewo

  Henry Kilewo Verified User

  #13
  May 25, 2010
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 889
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 45
  kamanda nimekupata ila kwa maelezo ya mtuhumiwa ya awali yanaonyesha ni mfuasi wa ccm moja kwa moja na katumwa na wana ccm nisingeweza kuweka ishu kubwa hapa kama sinauhakika nayo pole sana kama unaogopa kumtaja mtu direct
   
 14. B

  Babuyao JF-Expert Member

  #14
  May 25, 2010
  Joined: Jun 6, 2009
  Messages: 1,734
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  Ndiyo CCm hao. Ona hata kaulimbiu yako "USHINDI LAZIMA" ni kaulimbiu ya kibabe, kimabavu, kishari na kivita. Ushindi ni lazima liwe liwalo. Kati ya kaulimbiu nilizowahi kuzisikia na kuzichukia hii inaongoza. Haina utu wala ustaarabu wala uungwana.
   
 15. Regia Mtema

  Regia Mtema R I P

  #15
  May 25, 2010
  Joined: Nov 21, 2009
  Messages: 2,974
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 0
  Kilewo.Si vema kusema ametumwa na CCM kama huna uhakika,hata kama ni mfuasi wa CCM..penda kusimama kwenye ukweli kuliko kuwa shabiki..Please wangu..
   
 16. K

  Kwayu JF-Expert Member

  #16
  May 25, 2010
  Joined: Nov 8, 2007
  Messages: 487
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Duh.Kweli chama cha mafisadi ni Mafia
   
 17. Barubaru

  Barubaru JF-Expert Member

  #17
  May 25, 2010
  Joined: Apr 6, 2009
  Messages: 7,162
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  makubwa hayo
   
 18. Henry Kilewo

  Henry Kilewo Verified User

  #18
  May 25, 2010
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 889
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 45
  mtuhumiwa analia tuu hatoi maelezo ya kuelelweka anasema yeye katumwa na mkubwa wake wakazi, amekamatwa na vitambulisho kumi na tano akidai wenzake ndiyo waliyo kuwanavyo vingi wakawa wanampa nusu nusu, yaani haeleweki kabisaaa
   
 19. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #19
  May 25, 2010
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  habari hii ni ya kusikitisha... lakini, hivi kweli watu wanaweza kujiandikisha hadharani huku wakijua ni kinyume cha sheria kweli? yaani CCM wamefulia kiasi cha kuacha upuuzi huu uwe very open? tunajua ni wezi lakini kweli wamefikia level hii?
   
 20. Henry Kilewo

  Henry Kilewo Verified User

  #20
  May 25, 2010
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 889
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 45
  kamanda yaani ni maajabu sana kuona sheria zinavunjwa wazi wazi kana kwamba taifa halina vyombo vya kusimamia sheria walizo ziweka mpaka aibu tupu
   
Loading...