CHADEMA ya sasa haina haiba ya kunywa juisi ya Ikulu, Siasa za Magufuli ni za level ya kimataifa!

jingalao

JF-Expert Member
Oct 12, 2011
35,053
28,245
Katika kipindi ambacho Tanzania inaongelewa sana na vyombo vya habari vya kimataifa hasa hasa kwenye nyanja ya kiuchumi na mabadiliko ya uongozi wa kisiasa basi ni wakati huu

Mh Rais Magufuli ameibadilisha Tanzania na Afrika kwa haraka sana na tena katika wiki ya kwanza kabisa.

Rais Magufuli aliapa kuondoa ufisadi,ukiritimba,ulegelege na uongouongo.

Rais Magufuli anaendesha nchi kwa siasa za kisayansi nikimaanisha kuwa kwenye sayansi kunahitaji facts tu yaani maamuzi hufikiwa kwa ushahidi na sio namna nyingine yoyote ile.

yaani kupata NaCL ni lazima Na+ na Cl- ziungane hakuna namna ya ujanjaujanja mwingine.

Hivyo waliozoea siasa na utendaji wa serikali kwa style ya ujanjaujanja ni lazima wasiielewe serikali au waichukie serikali au watishie umma.

Rais Magufuli anatekeleza ile mipango tuliojiwekea kama Taifa wakati tunapata uhuru.Tukumbuke kuwa wazee wetu waliopigania uhuru waliteseka sana na kuna mambo walikataa kuyaona yakija kutokea vizazi vijavyo vya nchi hii,hivyo mara baada ya uhuru naamini walijiwekea mipango genuine yenye neema na inayotekelezeka .

Mwalimu Nyerere alianza kwa kuitekeleza ipasavyo ingawa kivumbi cha dunia nyeupe kilimkumba na hatimaye waliomfuata wakaangukia kwenye mitego ya wakoloni.

Leo hii Tumeletewa bahati nyingine kwa makusudi ya Mwenyezi Mungu ili tukombolewe.Tumeletewa Rais Magufuli ambaye kaamua kujitoa vilivyo dhidi ya Watu korofi walioko nje ya mipaka na ambao mara nyingi hushirikiana na waliomo ndani ya mipaka.

Bila ajizi TINGATINGA LA DODOMA linasambaratisha vilivyo wale matapeli wa kiuchumi na kisiasa.

TINGA TINGA LIKO Mtaani na kishindo chake kinasikika hadi nyuzi 90(Hasi na Chanya) na nyuzi 180(mashariki kwa magharibi).

Kwa ufupi sana Rais Magufuli anaibadilisha siasa ya Tanzania kutoka kwenye level za kufikiria viongozi wa kisiasa wanaowazia matumbo yao tu au siasa za kuzusha na kupakana matope hadi kwenye siasa zinazoongelea mustakabali wa kiuchumi ,kiusalama,kimaslahi na siasa tambulishi za kimataifa.

Leo hii vyombo vya nje vinaanza kuikumbuka siasa yetu ya ujamaa ambayo ni siasa yetu iliyopo kwenye katiba,Simaanishi tumerudi enzi zile za utaifishaji bali tumeweza kuunganisha kilichopo kwenye katiba kulingana na mazingira mapya ya kidunia.

Ni aibu sana kwa viongozi na wanasiasa wa upinzani hasa Chadema kubaki katika ushindani wa kisiasa kwa njia zile zile.
Ni aibu kwa vyama vya upinzani kushindwa kuja na sera mbadala na za kileo zitakazoendana na kasi ya Rais Magufuli.

Upinzani umebakia na au kurudi nyuma hatua nyingi sana ...umetia aibu !!aibu kubwa!!

Upinzani wa sasa umejivua ile hadhi waliyokuwa nayo ya kwenda kunywa juice Ikulu.

Hadhi uliyonayo sasa ni kukaa na wadaku kwenye vibanda vya mama muuza na kunywa mataputapu.

SAD BUT TRUE!!

Tuendelee kuwashauri wabadilike mithili ya Chama kikongwe Afrika na waendane na wakati.

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA
 
Mkuu umenena vyema, hata kama ana mapungufu ni bora kuliko kuendelea kuleana kama tulivyokua tumezoea!

Kuitiwa juice ikulu wakitoka hapo wanapiga picha na hoja inayeyuka ghafla!
Huwa najiuliza kama hatua anazochukua magufuli ni for personal interest hakika asingekua anafanya anayoyafanya haya! Kujitoa kwaajili ya watanzania wote wa nchi hii wapate Huduma bora kutokana na resources tulizo nazo.

Hakika nashukuru mungu kunijalia kuwepo kwenye zama/kizazi hiki nitapata cha kuja kusimulia hata wajukuu zangu. ( anayoyafanya magufuli hata nyerere hakuthubutu kuyafanya kwa vitendo ingawa alikua anayakemea sana)
Viva magufuli you are our legacy forever.
 
Vijana wa sasa wanapaswa kujifunza ujasiri huu wa Rais Magufuli ili waweze kupambana na vijana wenzao kutoka ughaibuni.

Tabia ya kushinda kwenye vijiwe vya insta na kufuatilia udaku ni tabia isiyo na afya kabisa.
 
Katika kipindi ambacho Tanzania inaongelewa sana na vyombo vya habari vya kimataifa hasa hasa kwenye nyanja ya kiuchumi na mabadiliko ya uongozi wa kisiasa basi ni wakati huu

Mh Rais Magufuli ameibadilisha Tanzania na Afrika kwa haraka sana na tena katika wiki ya kwanza kabisa.

Rais Magufuli aliapa kuondoa ufisadi,ukiritimba,ulegelege na uongouongo.

Rais Magufuli anaendesha nchi kwa siasa za kisayansi nikimaanisha kuwa kwenye sayansi kunahitaji facts tu yaani maamuzi hufikiwa kwa ushahidi na sio namna nyingine yoyote ile.

yaani kupata NaCL ni lazima Na+ na Cl- ziungane hakuna namna ya ujanjaujanja mwingine.

Hivyo waliozoea siasa na utendaji wa serikali kwa style ya ujanjaujanja ni lazima wasiielewe serikali au waichukie serikali au watishie umma.

Rais Magufuli anatekeleza ile mipango tuliojiwekea kama Taifa wakati tunapata uhuru.Tukumbuke kuwa wazee wetu waliopigania uhuru waliteseka sana na kuna mambo walikataa kuyaona yakija kutokea vizazi vijavyo vya nchi hii,hivyo mara baada ya uhuru naamini walijiwekea mipango genuine yenye neema na inayotekelezeka .

Mwalimu Nyerere alianza kwa kuitekeleza ipasavyo ingawa kivumbi cha dunia nyeupe kilimkumba na hatimaye waliomfuata wakaangukia kwenye mitego ya wakoloni.

Leo hii Tumeletewa bahati nyingine kwa makusudi ya Mwenyezi Mungu ili tukombolewe.Tumeletewa Rais Magufuli ambaye kaamua kujitoa vilivyo dhidi ya Watu korofi walioko nje ya mipaka na ambao mara nyingi hushirikiana na waliomo ndani ya mipaka.

Bila ajizi TINGATINGA LA DODOMA linasambaratisha vilivyo wale matapeli wa kiuchumi na kisiasa.

TINGA TINGA LIKO Mtaani na kishindo chake kinasikika hadi nyuzi 90(Hasi na Chanya) na nyuzi 180(mashariki kwa magharibi).

Kwa ufupi sana Rais Magufuli anaibadilisha siasa ya Tanzania kutoka kwenye level za kufikiria viongozi wa kisiasa wanaowazia matumbo yao tu au siasa za kuzusha na kupakana matope hadi kwenye siasa zinazoongelea mustakabali wa kiuchumi ,kiusalama,kimaslahi na siasa tambulishi za kimataifa.

Leo hii vyombo vya nje vinaanza kuikumbuka siasa yetu ya ujamaa ambayo ni siasa yetu iliyopo kwenye katiba,Simaanishi tumerudi enzi zile za utaifishaji bali tumeweza kuunganisha kilichopo kwenye katiba kulingana na mazingira mapya ya kidunia.

Ni aibu sana kwa viongozi na wanasiasa wa upinzani hasa Chadema kubaki katika ushindani wa kisiasa kwa njia zile zile.
Ni aibu kwa vyama vya upinzani kushindwa kuja na sera mbadala na za kileo zitakazoendana na kasi ya Rais Magufuli.

Upinzani umebakia na au kurudi nyuma hatua nyingi sana ...umetia aibu !!aibu kubwa!!

Upinzani wa sasa umejivua ile hadhi waliyokuwa nayo ya kwenda kunywa juice Ikulu.

Hadhi uliyonayo sasa ni kukaa na wadaku kwenye vibanda vya mama muuza na kunywa mataputapu.

SAD BUT TRUE!!

Tuendelee kuwashauri wabadilike mithili ya Chama kikongwe Afrika na waendane na wakati.

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA
......
.......Ilboru Sec .....Mwalimu Julius Jina lako Lihimidiwe ...Balangida
 
Una matatizo wewe, sio kwamba tunasema, huo ndio ukweli yule jamaa ana roho mbaya na ni mkabila na huo ndo ukweli!!

Kabla hujatwambia tubadilike anzeni nyie kwanza kubadilika!!!
Ni Mara mia ya huyo!
Roho mbaya alikuulia wazazi wako?
Kwenye chama chenu kinachoendelea mnajifanya hamjui bwana mkubwa lissu alikua anakuja kwa kasi sana kwenye kutaka nafasi za juu ready for 2020 general election, jamaa wakaamua kumpunguza kasi!
Hujiulizi toka ameanza kutoa matamko na kukamatwa chama hakikuwahi kusema lolote????
 
Una matatizo wewe, sio kwamba tunasema, huo ndio ukweli yule jamaa ana roho mbaya na ni mkabila na huo ndo ukweli!!

Kabla hujatwambia tubadilike anzeni nyie kwanza kubadilika!!!
Hivi tunakosa hoja ya siasa ya kuongelea katikati ya kipindi cha mapambano ya kudai kodi na maslahi zaidi kwenye maliasili zetu?hadi tuongelee dhana mfu za ukabila na roho mbaya?

Anyways...kwangu mimi hiyo roho mbaya ni potential weapon dhidi ya mabepari na majizi yanayokwapua fedha na mali zetu kama Taifa.
 
Back
Top Bottom