Bramo
JF-Expert Member
- Oct 21, 2009
- 13,160
- 10,007
Wakuu JF amani iwe nanyi.
Kwa kuwa inaonekana MM anapenda ku play na media kuhusu suala lake.
Na kwa kuwa speed yake ya ku lob na media katika ku seek for public Sympath ni kubwa mno.
Na Kwa kuwa mmeshatoa muongozo kuwa mmemtwanga barua yenye makosa yake 11 ambayo anapaswa kuieleza CC ni kwanini isimchukulie Further Discplinary actions ikiwemo kuvuliwa uanachama...na kwa kuwa leo kasema bado hajapokea hiyo Barua na pia wala hatasema siku akiipata....na kwa kuwa hatujui mode of Delivery ya hiyo Barua wether iko on transit or not...haijalishi.
Ushauri wangu ni kukaa kimya na kufuata taratibu zote Kimya kimya....hata akitimuliwa (Nitafanya sherehe) wala msipige kelele..yeye mwenyewe atakuja kwenye Media ku update.
Huyu mtu tumemchoka jaman..
Pigeni Kimya kimya jaman...
Cc Kurugenzi ya Habari Tumaini Makene