CHADEMA:Within 14 Days pigeni Kimya Kimya

Bramo

JF-Expert Member
Oct 21, 2009
13,160
10,007
Wakuu JF amani iwe nanyi.

Kwa kuwa inaonekana MM anapenda ku play na media kuhusu suala lake.

Na kwa kuwa speed yake ya ku lob na media katika ku seek for public Sympath ni kubwa mno.

Na Kwa kuwa mmeshatoa muongozo kuwa mmemtwanga barua yenye makosa yake 11 ambayo anapaswa kuieleza CC ni kwanini isimchukulie Further Discplinary actions ikiwemo kuvuliwa uanachama...na kwa kuwa leo kasema bado hajapokea hiyo Barua na pia wala hatasema siku akiipata....na kwa kuwa hatujui mode of Delivery ya hiyo Barua wether iko on transit or not...haijalishi.

Ushauri wangu ni kukaa kimya na kufuata taratibu zote Kimya kimya....hata akitimuliwa (Nitafanya sherehe) wala msipige kelele..yeye mwenyewe atakuja kwenye Media ku update.

Huyu mtu tumemchoka jaman..

Pigeni Kimya kimya jaman...

Cc Kurugenzi ya Habari Tumaini Makene
 
Hapo kwenye bold nilidhani niko peke yangu kwa kusubiri tamko hilo la kufukuzwa ili nifanye sherehe ya kumtoa kirus ndani ya CHADEMA. Kumbe tuko wengi lol!!!

Ushauri wangu ni kukaa kimya na kufuata taratibu zote Kimya kimya.... hata akitimuliwa (Nitafanya sherehe) wala msipige kelele..yeye mwenyewe atakuja kwenye Media ku update.
 
CHADEMA tunataka CCM wawewawazi kwenye mambo yao kama mikataba na tenda za serikali.
Sasa iweje sisi suala la dogo ndani ya chama tunapendekeza ukimya na uficho?
Wenzetu CCM wanatoboa macho wananyofoa kucha na kutupa watu Mabwepande
Sasa tukichukua DOLA na gubu hili tulilonalo situtapeleka maelfu ya watu LUPANGO maisha na KUWANYONGA kimya kimya??

Eti piga kimya kimya!!

Hapo Blaza sipo na wewe.

Hukumu iwe wazi, makosa ya mtu yawekwe wazi na adhabu iwe wazi. Ukimya wa nini??? Huko chini ya carpet mnaficha nini??

CHADEMA ni chama makini, lakini ndani kuna vijiuvundo ambavyo vikiachiwa hata ubani hautafua dafu.
 
leo zito ndo nimejua kilaza na anaweweseka....ingekua mimi ningepiga kimya....nmeskia fina mango ni kama alikua akimchora hivi na vimaswali vyake vya kumtega....
 
CHADEMA tunataka CCM wawewawazi kwenye mambo yao kama mikataba na tenda za serikali.
Sasa iweje sisi suala la dogo ndani ya chama tunapendekeza ukimya na uficho?
Wenzetu CCM wanatoboa macho wananyofoa kucha na kutupa watu Mabwepande
Sasa tukichukua DOLA na gubu hili tulilonalo situtapeleka maelfu ya watu LUPANGO maisha na KUWANYONGA kimya kimya??

Eti piga kimya kimya!!

Hapo Blaza sipo na wewe.

Hukumu iwe wazi, makosa ya mtu yawekwe wazi na adhabu iwe wazi. Ukimya wa nini??? Huko chini ya carpet mnaficha nini??

CHADEMA ni chama makini, lakini ndani kuna vijiuvundo ambavyo vikiachiwa hata ubani hautafua dafu.

Hujauelewa uzi.
Omba kuelimishwa na uta darasiwa tu...
 
Wewe kama mkweli mbona usiishutumu uongozi wa chama kwa kutuhadaa eti wameshatuma hiyo barua. Wetuma kwa posta ya konokono
 
Wewe kama mkweli mbona usiishutumu uongozi wa chama kwa kutuhadaa eti wameshatuma hiyo barua. Wetuma kwa posta ya konokono
Nawewe vipi unadhani anaipenda hiyo barua.anaweza hatakuficha ajaribu kujifanya hajapata.Mkuu zzk anahali ngumu muno.Anawaza hela zawatu kazi yenyewe hajaifanya.Ndo alikuwa ananza akafumaniwa.
 
Nasubiria na mie ati akipigwa na chini siku hiyo nitakula biaaaaaaaaaaaaaaaaaaa sana tu uwezo ninao.Piga chini chini na atakuja mwenyewe humu kuwa oooh wajameni mie kwisnei and we're waiting for him here here kama asemavyo Mwai Kibaki Rais mstaafu wa Kenya.We're here here and we're waiting for him here here.
 
Alikuwa haji hata Msikitini lakini sasa hivi anajifanya ni swala tano ili kutafuta sympath ya Waislamu sisi tutamtimua huyu msaliti anaweza hata akatuletea migogoro humu
 
Alikuwa haji hata Msikitini lakini sasa hivi anajifanya ni swala tano ili kutafuta sympath ya Waislamu sisi tutamtimua huyu msaliti anaweza hata akatuletea migogoro humu

Hii ndo point ya muhimu. Watanzania wasipokuwa makini tutagawanywa sana na machafuko juu.
 
Wewe kama mkweli mbona usiishutumu uongozi wa chama kwa kutuhadaa eti wameshatuma hiyo barua. Wetuma kwa posta ya konokono

Suala la yeye kusema hajapata barua linaweza kuwa kweli ama si kweli.
Na kwa kuwa amaeonesha kutafuta huruma ya watu possibility ya kuwa keshapewa ni kubwa.
Tusubiri hizo 14 Days kimya kimya...
 
Hatujawahi hata siku moja kumsikia akiongea na Media kuhusu tuhuma zake.
Though anasema amekuwa akituhumiwa kwa muda mrefu sana.
 
Back
Top Bottom