Chadema with a failed mission to distort by election!

jingalao

JF-Expert Member
Oct 12, 2011
35,052
28,242
Wameumbuka!
Naamini kabisa kamati kuu ya Chadema ilamua kupinga tamko lake la awali la kukataa kuingia kwenye uchaguzi mdogo hadi tume iwatekebishie zile walizoziita dosari wakiwa na one and only mission and that is to disrupt the by election.

Hivi kwa nini hatuwashangai kubadili gia ghafla ghafla tena hata bila kwaandaa wafuasi wao wa mtandaoni?yaani ghafla tu wakaamua kurejea uwanjani chini ya refa yule yule waliyemkataa!!...jibu la swali hili ndio msingi wa hoja yangu.

Kulikuwepo kila kiashiria kuwa Chadema ilijipanga kuleta fujo kwenye uchaguzi huu na strategically katika jimbo la Kinondoni thats why hatujamuona Mbowe akiyaelekeza maandamano kule jimbo la jirani yake (SIHA) na badala yake kaja kuwaletea shari wastaarabu wa Kinondoni.

Mission yao imefail na ninaamini imebakfire na kiukweli watajuta na wanastahili kunyooshwa vilivyo na vyombo husika vya kisheria.

Yaani uchaguzi wamegaragazwa vibaya na kinachofuata ni wao kulipa uvunjifu wa amani walioufanya.
 
vikundi vya waasi na magaidi vitakapoanza kujitokeza ccm mtakimbilia wapi?

Mwenyekiti wenu kazungukwa na wanausalama 24/7, nyie mlioko uraiani mtajificha wapi?

Tanzania ni yetu sote.
 
Kumbe ni jingalao napoteza muda kusoma Mada za pumbavu
 
Haujapewa Ukuu wa wilaya
 
Jina lako linaonyesha upuuzi wako
 
vikundi vya waasi na magaidi vitakapoanza kujitokeza ccm mtakimbilia wapi?

Mwenyekiti wenu kazungukwa na wanausalama 24/7, nyie mlioko uraiani mtajificha wapi?

Tanzania ni yetu sote.
Tanzania ilishashuhudia ugaidi wa tukio la mabomu katika ubalozi wa marekani hata kabla ya semptember 11.mwaka 1998 kabla hujazaliwa.
 
vikundi vya waasi na magaidi vitakapoanza kujitokeza ccm mtakimbilia wapi?

Mwenyekiti wenu kazungukwa na wanausalama 24/7, nyie mlioko uraiani mtajificha wapi?

Tanzania ni yetu sote.
Kwa hiyo wewe unataka kuanzisha ugaidi?maana kama si wewe unajuaje kua kuna mTanzania mwenye akili mbovu anaetaka kuanzisha igaidi?nachukulia kua ni wewe ulieandika hapa ndo mmoja kati ya wenye uchu wa madaraka na wivu wa ki mamlaka,ushindwe vibaya sana na ikibidi ulaaniwe
 
Back
Top Bottom