CHADEMA: What on earth is this? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CHADEMA: What on earth is this?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mzee Mwanakijiji, Jun 14, 2009.

 1. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #1
  Jun 14, 2009
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,360
  Likes Received: 6,377
  Trophy Points: 280
  Katika pita pita zangu nikajikuta nimetembelea tovuti yahttp://www.chadema.net na mara moja macho yangu yakavutwa kama na sumaku na maneno haya yaliyo katika ukurasa wa mbele.

  Nilipoyasoma mara ya kwanza niliyapita bila kuyatafakari. Niliporudia tena na nikizingatia kuwa kama ni mtu ambaye ni mgeni na ninapita kujifunza kuhusu chama nikabakiwa na hilo swali..:

  What is wrong with this?

  [​IMG]

  [​IMG]
   
 2. Kasheshe

  Kasheshe JF-Expert Member

  #2
  Jun 14, 2009
  Joined: Jun 29, 2007
  Messages: 4,690
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Kama viongozi wa chadema ni akina Asha Abdallah, what do you expect!!! Utafikiri chama cha mipasho!!!

  Wandugu upinzani bado saaana!
   
 3. Selous

  Selous JF-Expert Member

  #3
  Jun 14, 2009
  Joined: Jan 13, 2008
  Messages: 1,322
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  If Chuo Cha Mafisadi (CCM) turn tu Chama Cha Mapinduzi then will get it wrong. Ijapokuwa was not supposed to be at front page.
   
  Last edited: Jun 14, 2009
 4. M

  Magezi JF-Expert Member

  #4
  Jun 14, 2009
  Joined: Oct 26, 2008
  Messages: 2,827
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145
  Binafsi sioni tatizo kubwa isipokuwa wange elezea utangulizi wa chama zaidi badala ya kuweka shutuma dhidi ya ccm pamoja na utangulizi wa chama chao. Nadhani hili ni la kurekebisha tu.
   
 5. MwanaFalsafa1

  MwanaFalsafa1 JF-Expert Member

  #5
  Jun 14, 2009
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 135
  What's the big deal? Kilichoandikwa hapo kimeshasemwa na CHADEMA mara nyingi ni leo tu mnegundua hilo? They have been saying this for a few years now and it just sounds like old news.......it has actually never been news.

  Hapo ninavyoona wameelezea kuhusu kwa nini wao wanastahili kutawala as opposed to CCM which is the ruling party. There are more important issues to be discussed then this.
   
 6. M

  Magezi JF-Expert Member

  #6
  Jun 14, 2009
  Joined: Oct 26, 2008
  Messages: 2,827
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145
  Tuko pamoja mkuu,

  Mimi pia ninavyoona hakuna tatizo kwa sababu si kila kitu kiwafurahishe waCCM.
   
 7. M

  Magezi JF-Expert Member

  #7
  Jun 14, 2009
  Joined: Oct 26, 2008
  Messages: 2,827
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145

  Siyo lazima kila liandikwalo liwafurahishe ninyi mliokwisha kunywa maji ya bendera ya jembe na nyundo!!!
   
 8. Companero

  Companero Platinum Member

  #8
  Jun 14, 2009
  Joined: Jul 12, 2008
  Messages: 5,475
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  1. Nimevutiwa na neno "mbadala" japo huo mbadala umejaa utete/utata wa "itikadi"!
  2. Nimechanganywa na "falsafa ya nguvu ya umma" isiyopingana na "mrengo wa kati"!
  3. Nimefadhaishwa na uchambuzi na maana ya "mabadiliko" na "maendeleo' ya kweli"!
   
 9. Songambele

  Songambele JF-Expert Member

  #9
  Jun 14, 2009
  Joined: Nov 20, 2007
  Messages: 3,435
  Likes Received: 1,016
  Trophy Points: 280
  Ndio politike ya Tanzania kaka bila kufanya hivyo upati wafuasi, watanzania wengi hawaamini kama wao ni vyanzo vya matatizo isipokuwa kuna mwengine ndio tatizo na wao ni safi hata kama wao ni sehemu ya matatizo hayo.

  Siasa hii ya kunyosheana vidole ndio inayowahakikisha CCM utawala wa kudumu, mwisho wa siku ni hoja dhaifu na hafifu.
   
 10. MwanaFalsafa1

  MwanaFalsafa1 JF-Expert Member

  #10
  Jun 14, 2009
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 135
  Ni kweli mkuu. Hapa hakuna tatizo lolote. They have just used sarcasm to express their message. Mimi sioni kabisa tatizo hapa. Labda mkuu MM aje mwenyewe atuambie ni nini haswa kimemuudhi hapa.
   
 11. Ilulu

  Ilulu Senior Member

  #11
  Jun 14, 2009
  Joined: Mar 22, 2008
  Messages: 161
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Binafsi tatizo langu ni hiyo bendera. Hii rangi "Working as a Group - Team Work" inasimama kumaanisha nini?
  Nakumbuka zamani bendera ilikuwa ya blue bahari peke yake na hiyo nembo ya vema.. sasa hii red inanishinda kujua inawakilisha nini. Vinginevyo kuhusu hayo maelezo sina tatizo kabisa.
   
 12. Ilulu

  Ilulu Senior Member

  #12
  Jun 14, 2009
  Joined: Mar 22, 2008
  Messages: 161
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Sorry hi Working as Team Group" imeingia kimakosa.... ilitakiwa isomeke hiyo rangi "NYEKUNDU"
  SAMAHANI KWA USUMBUFU WANA JAMII
   
 13. Bluray

  Bluray JF-Expert Member

  #13
  Jun 14, 2009
  Joined: Mar 25, 2008
  Messages: 3,446
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  They can and should write the same thing in a more polished, politically accepted (a politically correct euphemism for "politically correct") way.

  To begin with, I don't know what is "mrengo", although I know about mlengo if that is what they mean. The site could use some proofreading.

  I suspect Mwanakijiji's objection is over the divisiveness of the rhetoric. There is a very thin line between the revolutionary firebrand "kumkoma nyani" talk, that is much needed dare I say, and divisive talk.And it is all in the art of expression, the same things expressed differently may come out as either divisive or revolutionary.

  They should stick with the revolutionary ideals because that is needed, however the litany of blanket divisive rhetoric should be elevated to the level of informed and informing content, balancing diplomacy with revolutionary ideals without sacrificing opposition while maintaining leadership. Obviously no easy task, but neither is Ikulu and bunge.

  So if CHADEMA wants to take Ikulu and Bunge they can start demonstrating their reliability and leadership by having a commensurate website.
   
 14. c

  care4all Senior Member

  #14
  Jun 14, 2009
  Joined: Feb 25, 2007
  Messages: 103
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Anamaanisha maendeleo ya kweli yataletwa na mafisadi ambao hawako CCM?
   
 15. Kasheshe

  Kasheshe JF-Expert Member

  #15
  Jun 14, 2009
  Joined: Jun 29, 2007
  Messages: 4,690
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Kama hayo yaliyoandikwa yako sawa, then chama mbadala hakina vision, huwezi kufirikia kwa mtizamo wa karibu kiasi hicho.

  Huwezi kufikiria utakuwa mpinzani forever, huwezi kufirikia siku zote mpinzani wako ni CCM?

  Huwezi fikiria always issue ni mafisadi...

  It is real a shame, chama kinaandika dira yake kama shairi la rusha roho!
   
 16. K

  Kakalende JF-Expert Member

  #16
  Jun 14, 2009
  Joined: Dec 1, 2006
  Messages: 3,259
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 135
  Mkuu MMKjj, leo imekuwaje? Wengi humu tunafikiri wewe ni Chadema, sasa haya mambo si mungeyajadili kwenye vikao vyenu vya ndani?
   
 17. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #17
  Jun 14, 2009
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,571
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 0
  Duh!
  sema wewe maana nakumbuka nilishawah kuileta kama hii lakini nadhani ilikuwa inazungumzia foreign policy na wakanishut down

  sasa mindhali umeileta I hope wenyewe watakuja hapa specifically kwa ajili ya kujibu hoja hii

  duh!

  ebwana huko salama maana this is unusual
   
 18. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #18
  Jun 14, 2009
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,571
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 0

  hata mimi nimeshangaa maaana JF na CHADEMA sawa na samaki na maji huwezi kuandika chochote kumcriticise Freeman au CHADEMA maana chances itaondolewa au itafutwa

  mimi leo bado nipo kwenye shock!
   
 19. Field Marshall ES

  Field Marshall ES JF-Expert Member

  #19
  Jun 14, 2009
  Joined: Apr 27, 2006
  Messages: 12,659
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 0

  - Hoja bwana, huwa haihitaji kelele wala matusi, inasimama yenyewe tu na strong message, ubarikiwe mkuu Kasheshe kwa hii message.

  FMEs!
   
 20. Z

  ZeMarcopolo JF-Expert Member

  #20
  Jun 14, 2009
  Joined: May 11, 2008
  Messages: 13,589
  Likes Received: 480
  Trophy Points: 180
  Tatizo kubwa la CHADEMA na wafuasi wake ni kwamba wao kila mtu anawaambia kitu tofauti na wanchofikira basi huyo ni fisadi, ni CCM etc. Wanashindwa kuelewa kuwa mtu ambaye siyo mwanachama wala mpenzi wa CHADEMA anaweza kuwapa mawazo mazuri.
  Na hili ndio swala litakalosababisha CHADEMA kutokomea baada ya uchaguzi mwa mwakani.
   
Loading...