Chadema wenzangu:maandalizi ya uchaguzi hayafanyiki kwenye mikutano..game inapigwa nje ya uwanja..

wakusoma

JF-Expert Member
Feb 25, 2008
1,085
1,049
Ndugu zangu acheni ile logic ya tumejaza watuuu..Sijui mafuriko..hizo Ni siasa za mrema za 1995..now days game(mikakati ya uchaguzi)inapigwa nje ya uwanja.

Mfano mdogo chukulieni mechi za simba na Yanga.. Robo tatu ya mechi inachezwa nje..hii Ni pamoja na uchawi..kuhonga na kadhalika.

Sio siri ccm huwa wanajipanga mapema Sana pengine six month before..kuongea na watu..kuwekana sawa na wanachama wao na kubwa zaidi kuhimizi kujiandikisha..

Ni bora ukam sisitiza MTU mmoja ajiandikishe miezi 4 kabla kuliko kujaza nyomi la watu 200 wakati wa kampeni ambao wahuni tu wala hawakujiandikisha.

Hatujaibiwa..ila tumepigwa kihalali.tutulie tujipange..na mkizidi kuleta malalamiko ya kitoto namna hii na mie nawahama soon.

Tumepigwa kisayansi..tutulie.chungu ila ndiyo tiba.
 
Ukijidai kupiga game nje ya uwanja unakamatwa na kung'olewa kucha! Mukulu alitamka! Spika fukuza hao wakija huku nawabana… Unamkumbuka Bungeni mwanae kombani! Tunawapiga ndani na nje ya bunge! Je ni vikao vingapi vya ndani vimevamiwa na watu kukamatwa na kuteswa… Mpango ni kuuwa upinzani kama wakulu walivyoahidi… Ni sayansi ambayo upinzani hawaiwezi hawana ajirapolisijeshiwasiojulikanank!
 
Back
Top Bottom