Wakudadavuwa
JF-Expert Member
- Feb 17, 2016
- 17,506
- 15,999
Amani iwe kwenu.
Katika tathmini zangu makini nimegundua kuwa CHADEMA kwa sasa inadorora kwa kasi chanzo kikuu kikiwa ni kuzeeka kwa Bavicha "kisiasa". Napendekeza jina waitwe "BAMACHA" (Baraza la Madogo/Machalii Chadema) au "BANYOCHA" (Baraza la Nyoka Chadema) mikoa ya Arusha na Kilimanjaro neno "Nyoka" humaanisha vijana wadogo.
Viashiria vya Bavicha kuzeeka kisiasa ni kama ifuatavyo.
1.Bavicha imeshindwa kuleta nidhamu kwenye chama na kucha kila mtu kusema yake hasa hoja zinazodharaulisha chama.
2.Bavicha ipo "contaminated" na Luwasamania,4U hivyo kujikuta wamehama kwenye agenda za uzalendo na kupinga ufisadi.Tunashuhudia Bavicha wakifurahia mambo ya nchi yakienda mrama na kutetea wabadhirifu kwa nguvu kubwa.
Hata kwenye soka lazima uwe na akademi bora kama Lamasia ya Barca ndio upate timu bora.
Najua pamoja na mvurugano uliopo kuna wachache chama wanaoweza kuandaa "BAMACHA" kwa mustakabali bora wa siasa za upinzani zenye mrengo usioyumbishwa na tamaa ya pesa na madaraka.
Kwa wanachadema mlio "objective" mbinu hii ya kufundisha watoto ndio imekuwa muhimili mkubwa kwa Makanisa na Misikiti kudumu karne na
Nawasilisha ili kupata michango chanya ili kuipa afya siasa.
Nakubali kukosolewa.