Chadema wekeni mawakala waaminifu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Chadema wekeni mawakala waaminifu

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Lu-ma-ga, Oct 12, 2010.

 1. Lu-ma-ga

  Lu-ma-ga JF-Expert Member

  #1
  Oct 12, 2010
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 2,840
  Likes Received: 471
  Trophy Points: 180
  Jana mkurugenzi wa Nec alidokeza kwamba"Vyama vya siasa vinatakiwa kuweka mawakala waaminifu ambao watakuwa tayari kuweka mbele maslahi ya vyama vyao kwa kuwepo vituoni na kuepuka vishawishi kutoka kwa waharibifu wa uchaguzi" statement hii ilinikumbusha kuwa tumekuwa tukijadili swala la kuweka mawakala waaminifu.

  Naileta hoja hii tukumbushane tena kama kuna any new developments interms of techniques and approaches NINAJUA VIONGOZI WA chadema wako bussy na kampeni lakini pia kuna wakati wanapitia JF wakati wa mapumziko kumbukeni hilo.Tusijisikie bored na mada maana hii ndiyo eneo nyeti kuliko vyote kwa sasa.Karibuni

  CHADEMA VEMA
  [​IMG]
   
Loading...