Uchaguzi 2020 CHADEMA wekeni majina ya mawakala kila Kijiji, kila mtaa, kila Jimbo, kila mkoa kwenye website yenu

technically

JF-Expert Member
Jul 3, 2016
11,975
48,843
Hi itasaidia kuondoa mawakala fake watakaojitokeza ili kuleta mchezo na kuwasaidia CCM kuchezea uchaguzi

Ikiwezekana kabisa mngeweka na picha zao na majina yao matatu.

Huu uchaguzi hatutaki mchezo kabisa.

Nashauri pia hamasisheni wafuasi wenu tarehe 28 saa 11 asubuhi wawe vituoni

Wahakikishe zoezi halianzi bila ya mawakalia wa Chadema na upinzani kwa ujumla hawajaingia ndani!!

Ikiwezekana hata wasimamizi wa kituo wazuiwe kuingia ndani mpaka wahakikishe mawakala wote wameruhusiwa kuingia sehemu ya chumba Cha kupigia kula
 
Hata wakibandika kila chumba, Watanzania hatuwezi kumpigia kura msaliti wa Nchi

Watanzania tuliowengi tutamchagua Rais Magufuli kipenzi cha Watanzania
 
Back
Top Bottom