CHADEMA waweweseka na mkutano wa CCM JANGWANI, na sasa Rukwa na Katavi

Heeeeeeeee! Dogo inataka moyo kama wa kichaa hivi kuwatetea Chadema leo! Hakika kifo cha CDM hakikwepeki! KIFO CHA CHADEMA KWASASA HAKIKWEPEKI KAMA ISIVYWEZEKANA KUZUIA JU LISICHWE!

Pandikizi lingine la magamba DHAIFU

Join Date : 22nd June 2012
Posts : 26
Rep Power : 309
Likes Received2
Likes Given0
 
SLAA ni kidume cha MBEGU, hata kama Mamako anauwezo wa kupakaa carolite mpeleke atamchukua tu na kumtimizia mahitaji yake ya kimwili.

Duh..kumbe wanetu huwa wanasoma mambo kama haya humu ndani!!
 
Siamini na ngumu sana kuamini kuwa chama hiki kinachojiita kikuu cha upinzani nchini kimeteswa na sana na mkutano wa ccm Jangwani kiasi kwamba kila wakiongea hawaachi kuutaja mkutano ule, ambao ni kichaa tu atapinga kuwa ulifunika mbovu.
Sasa mapigo hayo yamehamia Sumbawanga, ambapo jana kwa hakika CCM imefanya kile kilichokosekana kwa muda mrefu sana. Kimetatua kero papo kwa papo ambazo kwa kweli zilikuwa zinakera sana Rukwa. Na mtaani kila mtu anakiri sasa kuwa CCM kwa mwendo huu vyama vya upinzwni vilie tu, wako mbali sana CCM.
Vipi kuhusu kiwira na mfumuko wa bei pia mlitatua?
 
lazima utakuwa na shida katika kufikiri
  • kinachojiita - inamaana wewe hujui kuwa chama kikuu cha upinzani ni kipi , pole !
  • mkutano jangwani - nani alimuinga mwenzake, uliwahi hudhulia mikutano ya syesyem wakaacha kuwataja CHADEMA tafakari kwa nini ili hali kuna vyama vingi sana vya siasa
  • kero - nani aliyezisababisha kwa miaka 50 baada ya uhuru , halafu mbona huzitaji
  • hizo kero ulitarajia nani azitatue jambo la kujihoji ni kwa nini mumechelewa kutatua hizo kero hadi leo mnaishia kukenua meno eti mumetatua kero ambazo mlisababisha wenyewe
 
hayo mawazo yako ww kgeuka sio ya wote ,ww unapokea kanga na mchele na kofia lazima ufurahi,ukiangalia kwenu bdo ndugu zako masikini,shame on you
 
Kwa hiyo wamesema watawatajam na kuwapeleka mahakamani mafisadi?

Wame wataja waliopeleka pesa uswis?
 
Siamini na ngumu sana kuamini kuwa chama hiki kinachojiita kikuu cha upinzani nchini kimeteswa na sana na mkutano wa ccm Jangwani kiasi kwamba kila wakiongea hawaachi kuutaja mkutano ule, ambao ni kichaa tu atapinga kuwa ulifunika mbovu.
Sasa mapigo hayo yamehamia Sumbawanga, ambapo jana kwa hakika CCM imefanya kile kilichokosekana kwa muda mrefu sana. Kimetatua kero papo kwa papo ambazo kwa kweli zilikuwa zinakera sana Rukwa. Na mtaani kila mtu anakiri sasa kuwa CCM kwa mwendo huu vyama vya upinzwni vilie tu, wako mbali sana CCM.
HIVI NAPE UNATUTAFUTIA NINI KUTUTUMIA WATU WATUCHEFUE? By ze way hizo kero mlilizotatua papo hapo nani aliyesababisha kama sio utawala dhaifu wa kimagamba? Pia ikumbukwe kuwa hata huko mmfika kwa presha ya cdm. Nepi Nepi sijui utaficha wapi sura yako white kama mchina mwaka 2015?
 
Siamini na ngumu sana kuamini kuwa chama hiki kinachojiita kikuu cha upinzani nchini kimeteswa na sana na mkutano wa ccm Jangwani kiasi kwamba kila wakiongea hawaachi kuutaja mkutano ule, ambao ni kichaa tu atapinga kuwa ulifunika mbovu.
Sasa mapigo hayo yamehamia Sumbawanga, ambapo jana kwa hakika CCM imefanya kile kilichokosekana kwa muda mrefu sana. Kimetatua kero papo kwa papo ambazo kwa kweli zilikuwa zinakera sana Rukwa. Na mtaani kila mtu anakiri sasa kuwa CCM kwa mwendo huu vyama vya upinzwni vilie tu, wako mbali sana CCM.

Wakati mwingine siyo lazima kila unachotumwa na bosi wako kinatekelezeka unaweza mshauri pia otherwise wewe mtekelezaji unaonekana kilaza.
 
Tuelezeni kwanza NANI ALITAKA KUMUUA DR. SLAA NA KWANINI SLAA HATAKI KUTOA USHAHIDI KAMA TUHUMA HIZI NI ZA KWELI.? SLAA HAJAWA RAIS ANAIBA WAKE ZA WATU HIVI AKIWA JE SI ATATIA BARABARANI? NA KISUKARI KILE LAZIMA ANAKUNYWA VIAGRA HAKA KAZEE

Nape, ids nyingi za nini?.
Unajua usinge andika kwa herufi kubwa nisingekunyaka?.
Jaribu kuandika mambo yanayo endana na hadhi yako ya katibu mwenezi wa ccm. Lile tangazo la takika tano la kufungua kurasa ndo limekupa jeuri ya nipe 5?
 
Miaka 50 toka uhuru bado unakimbizana na kivuli cha cdm ya juzi tu? Na mpaka mzimalize kero zoooooote mlizozianzisha nyie wenyewe kwa kushabikia chama badala ya kero za wananchi

shame on u ccm
 
Back
Top Bottom