CHADEMA waungana na CUF kutomtambua Dr Shein

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
125,690
239,253
Kauli hiyo ya kikakamavu imetolewa na Katibu mkuu wa Chadema Dr Vicent Mashinji.

Mbali na kutoitambua serikali hiyo , chama hicho kimesema leo kitatoa mkakati mzito wa namna ya kushughulikia matangazo ya bunge la 11 kutoonyeshwa live .

Chanzo - Mwananchi .
 
kama tray la 'IN' hakuna kitu sijui unafanya nini kama sio madudu.
 
Kauli hiyo ya kikakamavu imetolewa na Katibu mkuu wa Chadema Dr Vicent Mashinji.

Mbali na kutoitambua serikali hiyo , chama hicho kimesema leo kitatoa mkakati mzito wa namna ya kushughulikia matangazo ya bunge la 11 kutoonyeshwa live .

Chanzo - Mwananchi .
Kipya kipi hapo? Taarifa au mtoa taarifa
 
Safi sana. Utamtambua je mwizi wa dhahiri kabisa? asitambuliwe na kila mwenye kumcha mwenyezi Mungu bali walaghai na wasio na hofu ya uporaji na mauaji ya kimbari
 
Mungu akulinde sana .
 
Ulipenda niishie darasa na ngapi? Hujui kuwa elimu haina mwisho? Na hilo ndio tatizo lako kujihisi umeelimika sana.
Nilichotaka kujua je ni marudio ya taarifa au tujue mtoa taarifa mpya. Tangu Rais Shen hajachaguliwa chadema waliisha sema hawamtambui yeye na serikali yake. Sasa wewe kuleta ujinga huo kila mara ndio elimu yako inavyokudanganya.
 
Huyu labda hajui kwanini walitoka siku Magufuli analihutubia Bunge. Humu ndani wamejaa watu wenye maji na bure lakini wanajifanya kutukana watu kama kweli wamesoma. Na kama kweli wamesoma sijui elimu yao inawasaida nini mimi binafsi sijui. Haya ninayoyaona humu mara nyingine hata marehemu baba yangu aliyeishia la pili hawezi kuyasema na kuyaandika kwa kujigamba kama hawa wsomi wetu.
 
Watu wana lia na Dr Slaa eti ndie katibu amabae anafaa chadema?why?! Kila zama na mtu wake now Mashinji ndio habari ya mjini, yule aliyafanya yake tunamshukuru, sasa tunamkaribisha Mashinji na kushirikiana nae kufanikisha mipango yake. Mwanzo murua tunasubiri mema mengi.
 
Huyu labda hajui kwanini walitoka siku Magufuli analihutubia Bunge. Humu ndani wamejaa watu wenye maji na bure lakini wanajifanya kutukana watu kama kweli wamesoma. Na kama kweli wamesoma sijui elimu yao inawasaida nini mimi binafsi sijui. Haya ninayoyaona humu mara nyingine hata marehemu baba yangu aliyeishia la pili hawezi kuyasema na kuyaandika kwa kujigamba kama hawa wsomi wetu.
Wakati ule wa ufunguzi wa bunge Zanzibar haikuwa na Rais na sasa tamko limetoka baada magumashi ya 20 march , nadhani sasa umeelewa .
 
Kauli hiyo ya kikakamavu imetolewa na Katibu mkuu wa Chadema Dr Vicent Mashinji.

Mbali na kutoitambua serikali hiyo , chama hicho kimesema leo kitatoa mkakati mzito wa namna ya kushughulikia matangazo ya bunge la 11 kutoonyeshwa live .

Chanzo - Mwananchi .
Tupo pamoja wakuu. Msilale, taifa linaangamia.
 
Mtoa mada huna jipya, hivi hamuoni aibu mlivyowaingiza mkenge wagombea wa uwakilishi wa cuf kule Znz hadi leo wanasota kwa hali ngumu ya maisha wakati nyie mko dododma mnabugia posho tuu. Hopeless
 
Back
Top Bottom