CHADEMA watoka tena bungeni, Mrema naye atoka!

Naona mbunge anawashambulia mabalozi waliofika leo bungeni,kuna mabalozi kibao wameingia bungeni leo.
Jamii ya kimataifa iko mjengoni na ukitazama vizuri kila balozi yupo na mtu wa kumtafsiria yanayojiri katika bunge la demokrasia. Ngoja nimsubirie msemaji anayefauatia ni wasira atapike malepelepe kama kawaida yake.
 
kha mrema naye katoka!!! basi kumekucha!

hii ni kiini macho, mie nadhani jukwaa la katiba waongoze mchakato wa kuandaa katiba mpya, kisha upelekwe bungeni...ukajadiliwe na kupitishwa!
 
CDM bana, wamekuja wakasaini form za posho then wanatoka na tayari mshiko umeingia
ratiba waliijua kwa nini wasingebaki nyumbani.
Tumbo kwanza mengine baadae
 
kha mrema naye katoka!!! basi kumekucha!

hii ni kiini macho, mie nadhani jukwaa la katiba waongoze mchakato wa kuandaa katiba mpya, kisha upelekwe bungeni...ukajadiliwe na kupitishwa!

nakubaliana na wewe.ni bora watafutwe wataalamu wachache (wawakilishi wa makundi mbalimbali) wakusanye maoni ya wananchi,waandae katiba,irudishwe kwa wananchi kujadiliwa na mwisho ndio ipelekwe bungeni.
 
CDM bana, wamekuja wakasaini form za posho then wanatoka na tayari mshiko umeingia
ratiba waliijua kwa nini wasingebaki nyumbani.
Tumbo kwanza mengine baadae

nadhani werwe ni kuadi wa magamba. Ulitaka na asubuhi kwenye maswali na majibu wasishiriki? wametoka kwenye epsode moja, itakayohusu taifa watarejea, lakini huo mswaada wa katiba unawahusu CCM, CUF, TLP, UDP tu ambao wote ni makuadi wa CC mjengoni na nje ya mjengo

Fidi sio siku nzima ni kujadili katiba asbi kulikuwa na session ya maswali na majibu baadae ndo mjadala.
Sasa wao wanatoka kwa kipengele kinachuhusu mjadala wa katiba tuu na sio mambo mengine
 
Jamii ya kimataifa iko mjengoni na ukitazama vizuri kila balozi yupo na mtu wa kumtafsiria yanayojiri katika bunge la demokrasia. Ngoja nimsubirie msemaji anayefauatia ni wasira atapike malepelepe kama kawaida yake.

huyo hakuna la maana analowea kusema...ni mpuuzi tu na mganga njaa wa kufa
 
mi siwaelewi hawa ccm mpaka sasa lengo lao ni nini na sisi? hivi baada ya ubunge tunakaa nao mtaani, tutakaa nao kwa amani kweli au ndo tutaanza nao hawa?
 
CDM bana, wamekuja wakasaini form za posho then wanatoka na tayari mshiko umeingia
ratiba waliijua kwa nini wasingebaki nyumbani.
Tumbo kwanza mengine baadae
wameingia kwa ajili ya mswali na majibu. yamekwisha wameondoka hakuna jipya tena.
 
Huu ni upuuzi mtupu

======
Leo CHADEMA wametoka nje ya ukumbi wa Bunge baada ya mjadala Muswada wa Katiba Mpya kuanza kujadiliwa.
Mtu anayekaa kimya ana gain more kuliko anayeropoka, nafurahi sana kuona wabunge wa CCM wanajichoresha mbele ya watanzania na jamii ya kimataifa kwa ujumla, na ukitazama bunge kwa makini utagundua waongeaji wengi ktk mswada huu ni wale ambao hawajawai kuongea kabisa bungeni na sasa wanasukumiziwa mic ili na wao wajichoreshe mbele ya wapiga kura wao kama alivyojichoresha Anna Kilango jana.
Chenge ndo msemaji anayefuta nitamtazama kwa makini.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom